Product
Kwa Nini Siku Hizi Anaonekana Kuwa Mbali Na wewe?
Kwa nini siku hizi anaonekana kuwa mbali nawe baada ya kupata mtoto? Mwongozo huu utakusaidia kuelewa mabadiliko yanayotokea kwenye uhusiano wako baada ya kujifungua, kwanini mume wako anaonekana kubadilika, na hatua rahisi za kurudisha ukaribu, mawasiliano, na upendo ndani ya ndoa yenu. 👉 Kwa mama yeyote mpya anayejihisi mpweke, kuchoka, au kutokueleweka.
TZS 6,500 TZS 25,000