MIN SIRI XYZ-Jinsi Ya Kupata Neema + Mfumo Wa Maisha Utakao Kupa Matokeo Makubwa (Kiuchumi/Kielimu/Kiafya).

MIN SIRI XYZ-Jinsi Ya Kupata Neema + Mfumo Wa Maisha Utakao Kupa Matokeo Makubwa (Kiuchumi/Kielimu/Kiafya).

TZS 9,500 TZS 14,500
84
Pages
Pdf
Format
Lifetime
Access
2
Sales

Promote this ebook & Earn!

Earn commission for every sale you refer. Join our Affiliate Program

Description

MIN SIRI XYZ si kitabu cha kusoma tu. Bali ni mfumo kamili wa maisha yako.

Ukiwa unahisi maisha yako hayana mwelekeo, unachoka haraka, au unafanya kazi kwa juhudi lakini matokeo hayaendani na juhudi zako…

Soma mpaka mwisho...

Kwa nini unajihisi umekwama?

Kila siku:

Unaamka ukiwa na mipango mingi
Unaanza vizuri lakini unachoka mapema
Unahisi maisha yanakupita
Unafikiria “ninafanya kazi sana lakini sioni matokeo”

Tatizo si wewe.

Tatizo ni kwamba hakuna aliyekuonyesha mfumo sahihi wa kuyapanga maisha yako.

Usijali MIN XYZ ipo kwa ajili yako.

Kila ukurasa unazungumza na wewe moja kwa moja, kukusaidia kupanga siku yako, kuelewa maisha yako, na kufanya maamuzi sahihi kwa utulivu na uhakika.

Ndani ya MIN SIRI XYZ utajifunza:

1. Jinsi ya Kuandaa siku yako → Jua namna bora ya kuianza siku yako ianze kwa neema na baraka.
2. Jinsi ya kupata Kibali cha Mwenyezi Mungu → kuelewa nafasi ya baraka na mwongozo katika maisha yako.
3. Siri ulizofichwa kuhusu mafanikio → mambo ambayo wengi hawakuambiwa kuhusu mafanikio ya kweli.
4. Nguvu ya pesa → jinsi ya kuona na kutambua fursa zilizo karibu nawe.
5. Life Pattern → kuelewa mfumo wa maisha yako na uweze kupunguza vikwazo.
6. Jinsi ya kuondoa msongo wa mawazo → kurudisha amani ya akili yako.
7. Jinsi ya kupata usingizi wa uhakika → kuondoa changamoto ya kukosa usingizi na kutuliza akili kabla ya kulala.

🔹 BONUS:
1. Jinsi ya kuona fursa zijazo kabla hazijatokea.
2. Elimu Ya Uwekezaji: Hisa na UTT AMIS na masoko mengine ya uwekezaji.

Hiki ni kwa ajili yako kama:

Unataka kubadilisha maisha yako
Unahisi umechoka kiakili
Unataka kuona fursa za pesa
Unataka utulivu wa akili
Unataka kuelewa maisha yako kwa undani

Baada ya kusoma MIN SIRI XYZ:

Utaweza kupanga maisha yako kwa ufanisi kuanzia asubuhi mpaka jioni
Utaweza kutuliza msongo wa mawazo bila kuathiri siku yako
Utapata uwezo wa kuona fursa za kibiashara na uwekezaji
Utaweza kufanya uwekezaji kwa ufasaha na kujiongezea kipato
Utakuwa miongoni mwa wanao furahia baraka + neema za M.Mungu

MIN SIRI XYZ sio kwa ajili ya

Anayetaka kupata pesa bila kufanya kazi
Anayetaka mafanikio ya haraka

Kwa uwekezaji mdogo tu wa 9500 Tsh utaweza kubadilisha mfumo mzima wa maisha yako, najua haupendi kuona juhudi zako hazizai matunda. Haupendi kuona wengine wanafanikiwa ingali wewe uko hapo hapo. Usiendelee kubaki nyuma unahitaji tu Nakala ya MIN SIRI XYZ...

Bonyeza "BUY NOW" Juu upate mbinu za kuyafanya maisha yako yawe na ufanisi wa hali ya juu.
Guide
Share this product: Facebook WhatsApp

About the Author

Rapha | Mr Think In USD

View all books

Customer Reviews

No reviews yet. Be the first to review!