Uwekezaji katika hisa,hatifungani na vipande

Uwekezaji katika hisa,hatifungani na vipande

TZS 10,000
250
Pages
None
Format
Lifetime
Access
0
Sales

Promote this ebook & Earn!

Earn commission for every sale you refer. Join our Affiliate Program

Description

Kitabu hiki kinaelezea kwa lugha rahisi misingi ya uwekezaji katika hisa, hatifungani na mifuko ya uwekezaji. Kinamlenga mtu yeyote anayetaka kujifunza namna ya kuwekeza na kujenga utajiri kupitia masoko ya fedha. Ndani ya kitabu hiki utaelewa jinsi soko la hisa linavyofanya kazi, tofauti kati ya aina mbalimbali za uwekezaji, pamoja na faida na hatari zinazohusika. Pia kitabu kinatoa mwongozo wa kuchambua kampuni kabla ya kuwekeza na mbinu za kujenga portfolio imara ya uwekezaji kwa muda mrefu. Ni kitabu kinachofaa kwa wanafunzi, wafanyakazi, wafanyabiashara na mtu yeyote anayependa kujifunza uwekezaji kwa njia iliyo rahisi kuelewa.
Hisa Hatifungani na mifuko ya uwekezaji wa pamoja(UTT AMIS TIMIZA FUND IMAN FUND nk)
Share this product: Facebook WhatsApp

About the Author

IrisNet

Educating the community though writing

View all books

Customer Reviews

Login to Review

No reviews yet. Be the first to review!