HABARIDUKA - Tanzanian Digital Marketplace

Articles

Discover insightful articles from talented writers

All Articles 15 Biashara 2 Uwekezaji 8 Technology 0 ETF 0 Business 0 DSE 2 Health & Wellness 0 Uchumi Binafsi 2 Finance 1 Education 0 Lifestyle 0 Travel 0 Food & Recipes 0 Entertainment 0 Self-Improvement 0 Marketing 0 Entrepreneurship 0 Spirituality 0 Parenting 0 Sports & Fitness 0
Uchumi Binafsi

Hauna Gundu Katika Uwekezaji: Hii Ndiyo Sababu Kwenye Uwekezaji na Biashara Kila Ukiingia Unapata Hasara

Kwenye ulimwengu wa uwekezaji, kuna kitu kinaitwa Risk Capital—hii ni pesa ambayo hata ikipotea yote leo, maisha yako ...

Habaritech Dec 16, 2025
Uchumi Binafsi

Pensheni Sio Mpango wa Maisha Baada ya Kustaafu. Huo Mkono wa Dhabau Unapewa Ukistaafu ni Vumbi Inayopotea

Pesa za pensheni sio utajiri wa ghafla, ni kwa ajili ya kukutunza mpaka pale unapoingia kaburini. Kutoka kwenye cheo cha...

Habaritech Dec 09, 2025
Uwekezaji Premium

Mpango Wangu wa DSE: Namna Natumia Mtaji wa Tsh. 100,000 kuwa Mashine ya Faida

DSE ni soko ambalo LIQUIDITY (Uwezo wa kuuza haraka) ndiyo kila kitu. Tumeona hata katika Vertex ETF hivi karibuni namna...

Habaritech Dec 06, 2025
Uwekezaji Premium

Uwekezaji Katika Hisa za Marekani na Kenya Ukiwa Tanzania na Nchi Nyingine Duniani

Hisa app ni Fintech Solution inayokuwezesha kuwekeza katika masoko ya Hisa ya Marekani na Kenya hata ukiwa na kiasi cha ...

Habaritech Nov 17, 2025
Uwekezaji

Jenga Mfumo wa Kipato (Dividend Machine) Kwa Kutunza Tsh. 50,000 Kila Mwezi

Katika ulimwengu wa uwekezaji Muda (Time) wako wa kuwa na umiliki sokoni ni bora kuliko kupatia muda (timing) wa kununua...

Habaritech Nov 17, 2025
Uwekezaji

Siri ya Kukuza Pesa. Namna Matajiri Wanaacha Pesa Izae Pesa (Nguvu ya Compounding)

Compounding sio siri ya matajiri; ni nidhamu ambayo matajiri wanaitumia. Anza leo, hata kama unaweka kidogo. Jipe muda n...

Habaritech Nov 15, 2025
Uwekezaji

Fahamu Jinsi Msimu wa Sikukuu za Christmas na Ada za Shule Unavyoathiri Bei za Hisa ndani ya DSE

Ukiangalia takwimu za soko kwa miaka mitano iliyopita, utaona kuna kitu fulani kinajirudia kila wakati kati ya mwezi Nov...

Habaritech Nov 14, 2025
Nuru kwa Wawekezaji Tanzania VIS-ETF Vs Inuka Fund Uwekezaji

Nuru kwa Wawekezaji Tanzania VIS-ETF Vs Inuka Fund

Kwa mara ya kwanza historia imeandikwa Tanzania baada ya uzinduzi wa Exchange Traded Fund (ETF) ya kwanza kuzinduliwa, m...

Habaritech Nov 12, 2025
Financial Fundamental Ratios na Umuhimu Wake katika Uchambuzi wa Fedha Biashara

Financial Fundamental Ratios na Umuhimu Wake katika Uchambuzi wa Fedha

Katika ulimwengu wa biashara na uwekezaji, financial fundamental ratios ni zana muhimu sana za kufahamu hali ya kampuni ...

Habaritech Nov 11, 2025
Sinto Fahamu Baada ya Hisa Kupotea Katika App ya HISA KIGANJANI ya DSE DSE

Sinto Fahamu Baada ya Hisa Kupotea Katika App ya HISA KIGANJANI ya DSE

Ni muhimu kuelewa kuwa app ya DSE Kiganjani ni mfumo wa kuonyesha taarifa, si mahali ambapo hisa zako zinahifadhiwa. His...

Habaritech Nov 10, 2025
Miemko ya VIS-ETF: Bei Unayonunulia Sokoni ni ya Kweli au Unapigwa na Kuumizwa? Uwekezaji

Miemko ya VIS-ETF: Bei Unayonunulia Sokoni ni ya Kweli au Unapigwa na Kuumizwa?

Huenda bei ya VIS-ETF ya sokoni sasa hivi unapigwa. Bei ya VIS-ETF kwa sasa iko juu sana kwa zaidi ya asilimia 40% kulin...

Habaritech Nov 07, 2025
Fahamu "Capital Gains": Jinsi PEsa Yako Inayoongezeka Thamani Katika Uwekezaji DSE

Fahamu "Capital Gains": Jinsi PEsa Yako Inayoongezeka Thamani Katika Uwekezaji

Wakati wengi wanafikiria kuhusu uwekezaji, mara nyingi huwaza kuhusu kupata "gawio" (dividends) kila mwaka. Lakini kuna ...

Habaritech Oct 28, 2025