Peter: Shem ni nini hiki unafanya? (Aliuliza kwa ukali na mshangao)
Brian: Oya kaka vipi mbona sikuelewi Shem kivipi tena? We Janeth huyu nani?
Janeth: Brian na wewe hebu tulia huko. (aliongea kwa ukali)
Peter: Kijana sikia mjini hapa usije ukapotezwa bure. Usione mwanamke mzuri anajihudumia ukadhani ni yeye.
Brian: Mbona sikuelewi mkali una maana gani?
Peter: Huyu mwanamke ana bwana ake. Usije umia kijana achana nae.
Janeth: Brian usimsikilize huyu. Mimi niko na wewe tu. Kwanza hata simfahamu huyu mwanaume.
Maneno ya Janeth kumkana Peter yalikuwa makali sana mpaka Peter alibaki mdomo wazi kuona shemeji yake kabisa ana mkana. Peter ambaye mara kadhaa ameenda nyumbani kwa Janeth akiwa na Johnson, mpaka Janeth aliwapikia chakula leo hii anasema hamjui Peter.
Brian: Unasemaje humjui na ulimuita Shem?
Peter: Ndo hapo ujiulize sasa.
Janeth: Hebu kwanza mniache mimi niende zangu, alafu na wewe Brian kama unaanza tu kuamini watu njiani uachane na mimi.
Janeth alijitutumua sana kumtamkia Brian haya maneno mbele ya Peter. Maana alijua vizuri kabisa moyo umezama kwenye mapenzi na Brian mpaka yeye mwenyewe alijishangaa. Brian alimfanya Janeth awe na furaha sana tofauti na akiwa na Johnson.
Unajua tena vijana Jobless wasio na majukumu na hawana pesa huwa wanajituma kweli kwenye mapenzi. Wanatumia kila njia kumuonyesha mwanamke anapendwa sababu hawana pesa za kuwapa.
Peter na Brian walibaki wamesimama pale wakimuangalia Janeth anapoingia kwenye gari mpaka gari inapopotea machoni mwao. Gari ilipopotea ndipo Peter akamgeukia Brian na kumwambia.
Peter: Mdogo wangu, jamaa wa huyo manzi ni mtu mwenye hasira sana na wivu kiroba. Sikutishi ila kuwa makini sana. Pesa zote na biashara za huyo mwanamke ni mfuko wa Johnson bwana ake.
Brian: Dah! bro mimi sikuwa najua hayo yote. Huyu mwanamke aliniambia anatumia mali za wazazi wake wana pesa sana.
Peter: Wazazi wa huyu mwanamke wanaishi moshi huko kijijini. Hawana pesa ya kuyaweza haya maisha anayaishi Janeth.
Brian: Shukrani kaka, kama Mungu vile tumekutana na wewe hapa.
Wakaagana na kila mmoja akashika njia yake.
Huko njiani Janeth alijawa mawazo na hajui afanye nini. Je, aachane na kijana anayempa mapenzi mazuri? au aendelee nae huku akijua Peter lazima atamwambia Johnson?
Kila akiendelea kuwaza akili inarudi kwa brian. Hii siku wamekutana na mpaka kuongozana vile Brian alikuwa katika ubora wake kitandani. Kijana alijua kumfikisha Janeth kileleni vizuri kabisa.
Ni kama vile Brian alitoka kuchukua mafunzo kutoka kwa mwigizaji wa picha za ngono ndipo akaja kwa Janeth. Kuanzi namna alimbusu mdomoni na polepole akashuka kwenye kidevu na shingoni. Huku mikono yake ikicheza kwenye matiti ya Janeth polepole kama simba akiwinda swala.
Brian alijua kucheza na hisia za Janeth hii siku. Kijana aliendelea kumbusu kutoka shingoni na polepole akafikisha midomo yake mpaka kwenye matiti ya Janeth wakati huu mkono wa kulia wa Brian tayari umefika mapajani kwa Janeth ukichezea upande wa ndani wa mapaja yake. Huku mkono wa kushoto unaendelea kuchezea chuchu ya titi la kushoto la Janeth.
Chuchu tayari zimesimama dede na mtoto hataki kuelewa. Anajitahidi kutaka kunyanyua mikono bila mafanikio. Anaishia kukaza mikono kwenye mashuka tu ya kitanda, huku pole pole, "Baby please usiache endelea. Nakupenda sana mwanaume wangu."
Akisikia hayo Brian anajua dawa imekolea naye anazidisha manjonjo ili mtoto azidi kulegea. Si unajua tena haya mambo siyo ya kulazimisha. Inabidi inapofika muda wa jogoo kuingia pangoni, pango linatakiwa kuwa na maji maji kidogo.
Pole pole sana Brian anajiweka vizuri na kuelekeza uume wake katikati ya mapaja ya Janeth. Janeth ananyoosha mikono ili kuelekeza vizuri mb...
Dereva: Oya sista tumefika mwisho wa safari.
Ghafla Janeth anashtuliwa na dereva kwamba wamefika. Muda wote wa safari alikuwa akikumbuka tu namna Brian kamfanya hiyo siku. Mawazo yake hayakuwepo barabarani na hata hakujua wamefikaje nyumbani.
Janeth alishuka kwenye na kuingia zake ndani kwake aende kupumzika. Alikuwa kachoka mno taabani. Kazi ya Brian haikuwa ya kitoto. Wakati anavua nguo ili ajipumzishe, simu yake ikaingia meseji. Kuangalia anaona jina, "Shem Peter".
Ndipo kumbukumbu zote zikarudi za kufumaniwa na Peter wakati anaagana na Brian. Akafyonya kwa hasira na kujisemasha kwa sauti, "Hili nalo linataka nini tena? janaume zima kazi umbea tu."
Kufungua ile meseji ilikuwa inasema, "Shem sijafurahishwa kabisa na kitendo ulichokifanya leo. Johnson anakupenda sana kwanini unafanya hivyo?"
Janeth aliwaza kidogo haya maneno ya Peter kisha akajibu na kusema, "Shem nisamehe sana na nakuomba niko chini ya miguu yako usimwambie Johnson tafadhali."
Zilipita dakika kadhaa bila ya Peter kujibu chochote. Usingizi wote ulimuisha Janeth akawa hana hamu tena ya kulala. Wasiwasi umemjaa juu ya Johnson atafanya nini akijua hili jambo.
Kila kitu alicho nacho Janeth ni kwa sababu ya Johnson wasiwasi wa Janeth ulikuwa kwamba Johnson akijua atachukua kila kitu na kumuacha Janeth hana kitu.
Janeth alituma text nyingine tena ikisema, "Tafadhali sana shem nakuomba sana rafiki yako asijue sijui nitaficha wapi sura yangu mimi."
Kisha akatupa simu kitandani na kwenda kuoga. Siku hii alikuwa kama mtu ambaye maisha yamemshinda kabisa. Alikaa bafuni muda mrefu sana maji yakitiririka juu ya mwili wake bila yeye kuhisi kitu. Alikaa chini ya ile shower kwa zaidi ya saa moja bila kutambua chochote na hata akasahau kwanini ameingia bafuni.
Kitu kilichokuja kumshtua ni kusikia simu yake ikiita. Mlio wa simu ulimshtua kama mtu aliyeng'ata na nyoka akiguswa na nyasi. Aliruka na kutoa kelele kubwa ambayo yawezekana hata majirani walisikia.
Alikaa chini pale bafuni kwa sekunde kadhaa ndipo anashtuka tena na kutambua ule mlio unaita ni wa kipekee aliweka kwa ajili ya Johnson.
Alitoka mbio na kukimbilia simu, lakini hakuipokea. Ameshika simu huku anajiuliza anasema nini? na je Peter tayari amefikisha taarifa au imekuwaje? Simu ikaita mpaka ikakata ikiwa mikononi mwake.
Anaangalia anakuta kuna missed call 30 kutoka kwa Johnson. Kumbe amekaa bafuni masaa mawili akiwa hajitambui. Wakati bado anahamaki hayo yote, simu ikaanza kuita tena na mara moja akapokea.
Johnson: Uko salama mpenzi wangu?
Janeth: Ndiyo, baba angu kipenzi niko salama.
Johnson: Umekutwa na nini hupokei simu, mpaka nimemtuma Peter aje mara moja kuangalia kuna shida gani.
Moyo wa Janeth ni kama uliacha kupiga kwa moja kwa mshtuko aliopata kusikia Peter anakuja.
Janeth: Niko salama baba angu, nilikuwa bafuni kufanya usafi na kuoga sikusikia simu ikiita.
Johnson: Siwezi kumwambia arudi tena maana ameshafika hapo muda kidogo anagonga mlango.
Janeth: Sawa nitazungumza nae nimtoe wasiwasi. Unarudi lini kwani Mpenzi wangu.
Johnson: Wiki lijalo nitakuwa hapo. Nina likizo fupi. Hebu nenda kwanza msikilize Peter, baadae mimi na wewe tutazungumza vizuri.
Janeth: Sawa babe, uwe na mchana mwema. Nakupenda.
Simu ilikatwa bila kujibiwa chochote. Hali ambayo haikuwa kawaida. Ikafanya Janeth ahisi zaidi kwamba Peter tayari amemwambia Johnson.
Janeth haraka akakimbia kuvaa kijora lake ili aende kumfungulia Peter. Alipofungua tu mlango wa chumbani kwa mbali kwenye dirisha la Sebuleni anaona kivuli cha Peter akiwa anatembeatembea kwenye veranda. Haraka akakimbia na kwenda kufungua mlango bila hata salamu akaanza.
Janeth: We Peter wewe umemwambia nini Johnson?
Peter: We mwanamke vipi kwani? Kwanza nini hupokei simu unafanya jamaa anikimbize mbio mbio mimi kuja huku?
Janeth: Si itakuwa wewe tayari umemwambia uliponikuta. Aya umemwambia umepata nini sasa?
Peter: Janeth unashida gani wewe lakin?
Janeth: Mwenye shida mimi au wewe? Mwanaume umbea tu aya unataka aniache atakulala wewe basi.
Peter: Umemaliza?
Janeth: Nimalize nini ndo kwanza naanza hapa na utanikoma.
Peter: Sijamwambia Chochote mimi Johnson.
Janeth: Eeh! Ndiyo si umeona mimi nafai.... (kabla hajamaliza kusema anashtuka)
Janeth: Eeh! Hi...Hi... (anapatwa na kigugumizi) Hivi umesema hujamwambia kitu?
Peter: Ndiyo?
Janeth: Nisamehe sana shem kwa kukurupuka. Karibu ndani upate walau Juice.
Peter: Mimi nishahakikisha uko salama naenda zangu. Mpigie jamaa yako mwambie uko safi.
Janeth: Nimeshazungumza nae, ila karibu ndani shem. Unafikiri yeye atasemaje akijua umefika mpaka hapa alafu ukaishia nje?
Peter: Aya naingia nipe maji tu maana nimekimbizwa kweli hapa nimechoka tu.
Basi Janeth alimkaribisha Peter sebleni na kumkaribisha kiti. Yeye huyo moja kwa moja jikoni kuchukua maji kwenye friji ampe shemeji yake. Wakati anachukua maji wazo likamjia la kusafisha jina lake kwa Peter. Binti akashika glasi vizuri kabisa na kuanza tembea kwa madaha akimfuata Peter. Peter yuko zake bize kuangalia mandhari ya sebule hata hakumzingatia Janeth.
Ili kumshawishi aelekeze umakini kwake, Janeth alijifanya kujikwaa kwenye kiti na kuanguka. Wakati anaanguka makusudi kabisa kajimwagia maji kifuani. Peter huyo karuka kutoka alipokuwa amekaa na kukimbilia kumsaidia asimame.
Peter: Kuwa makini shem, subiri nikusaidie usije ukaumia na hizi glasi.
Huku akimsaidia ila tayari kaona zile chuchu zimejichora kwenye dera. Maji yamelowesha kijora vizuri kabisa, kiasi hakuna mwanaume angeona na kuweza vumilia.
Janeth: (Akaongea huku akitoa kamlio kasauti ya nasibu) ooh! oooh! Asante Shem. Nisaidie ninyanyuke.
Peter: Vipi hujaumia?
Janeth: Sijui hata naona kiuno kinauma kwa hapa nyuma chini kidogo, naomba nisaidie nikae kwenye kochi hapo.
Peter kamshika vizuri kumpeleka kwenye kochi. Yale maji pale chini tayari yamezagaa pale sebleni mpaka kwenye makochi. Wakisogezana polepole kuelekea kwenye wakateleza tena na kuangukia kwenye kochi Janeth akiwa juu ya Peter.
Hapo tayari uume wa Peter umesimama ipasavyo ukidai dawa yake ili utulie. Na Peter alionekana kuwa mwanaume rijali haswa. Ni vile tu Janeth hakuwahi mzingatia mpaka wakati huu akiwa kwenye matatizo.
Wakiwa pale kwenye kochi Janeth alijilaza kabisa kama vile hataki kutoka pale kifuani kwa Peter alipoangukia. Si unajua tena hakuna mkate mgumu mbele ya chai.
Peter naye alishaanza kufurahia kile kitendo maana alipata kajoto ka huyu mrembo na yeye hajapata bahati ya kuwa na mwanamka kwa karibu mwaka mzima.
Ule ushawishi alipata pale ulikuwa wa kipekee mno. Rangi nyeupe ya Janeth ilimshawishi haswa. Na hapo wakianguka bwana Peter alishika vizuri Janeth kwenye nyash laini kama vile mto wa sufi na akaacha mkono wake hapo hata wakiwa tayari chini.
Alipojishtukia akatoa mkono wake haraka na kusema,
Peter: Shem pole, hebu simama kwanza.
Janeth: (huku akiendelea kukaa pale) Mmmh! Shem nashindwa kusimama kiuno kinauma.
Peter: Inabidi ujitahidi Shem hii namna tumekaa hapa si sawa.
Janeth: Mmmh! sawa hebu nijitahidi. (akajaribu kusimama alafu akajiangusha tena)
Janeth: Nashindwa, ila shem kwani kuna shida gani acha maumivu yapungue kidogo kwanza. Hapa tuko wenyewe tu.
Peter: Unanitia majaribuni shem.
Janaeth: Majaribu gani na wewe? Kwani kuna kipi usichokijua mwanaume mwenye mpini imara hivi kama wewe (akasema huku akipapasa mkono sehemu za siri za Peter).