Jifunze Kutengeneza Website kwa AI na Cloudflare
Verified
Overview
Reviews (0)
Comments
Creator
Jifunze Kutengeneza Website kwa AI na Cloudflare | Rekodi ya Darasa.
Mtu akitaka kujua unafanya nini, kuona kazi zako au kupata huduma zako, unamtumia wapi?
Website yako inaweza kuweka taarifa hizo sehemu moja na kukusaidia kujitambulisha kitaalamu.
Katika darasa hili, utajifunza kutumia AI kutengeneza portfolio au website rahisi ya biashara na kuiweka mtandaoni kupitia hosting ya bure ya Cloudflare.
Unachonunua ni rekodi ya darasa nililofundisha tarehe 1 Oktoba 2026. Hili si darasa jipya la live. Bei ya rekodi ni TSh 20,000.
Kama ulikosa session hiyo, sasa unaweza kufuatilia mafunzo kwa muda unaokufaa, kusitisha video unapofanya mazoezi na kurudia hatua unayohitaji kuelewa vizuri zaidi.
Ndani ya darasa, utajifunza:
1. Kutengeneza website kwa msaada wa AI. Namna ya kuipa AI maelekezo ili ikusaidie kujenga portfolio au website rahisi inayolingana na unachofanya.
2. Kuipa website muonekano wako. Kuweka picha zako, kazi ulizofanya, huduma unazotoa na mawasiliano yako. Pia, kuboresha jinsi website inavyoonekana kwenye simu na kompyuta.
3. Kuweka website yako mtandaoni. Namna ya kusajili domain, kuiunganisha na hosting ya bure ya Cloudflare na kufanya website yako ipatikane online.
Mafunzo yanalenga kutengeneza static website, kama portfolio au tovuti ya kutambulisha huduma, kwa mfano kama website yangu hii >> allymsangi.com.
Darasa hili linakufaa kama wewe ni content creator, freelancer, mjasiriamali au mtaalamu unayetaka sehemu ya kuonyesha kazi na huduma zako.
Pia linakufaa kama unataka kujifunza ujuzi wa kutengeneza website rahisi kwa msaada wa AI.
Unaweza kutumia unachojifunza kujenga website yako au kuanza kufanya mazoezi ya kutengeneza website kwa ajili ya wengine.
Bei: TSh 20,000 kwa rekodi ya darasa.
Hosting inayotumika kwenye mafunzo ni ya bure kupitia Cloudflare.
Nunua rekodi hii na ujifunze hatua za kugeuza wazo lako kuwa website inayopatikana mtandaoni.

Customer Reviews
No reviews yet. Be the first to review!
Community Comments
Please log in to leave a comment.
Loading comments...