Learn, grow and earn from African creators. Shop ebooks, courses, templates and more — pay with mobile money.
Ukitaka kupata serious money, usikimbilie target ya vijana kwa sababu tu ndio wako wengi online. Angalia kwanza nani ana uwezo na willingness ya kununua. Kwa data hii, audience ya miaka 35–65+ ndiyo sehemu kubwa sana ya audience, huku kundi la 55+ likiwa na uzito mkubwa zaidi. Na hapa kuna lesson muhimu. Kadiri mtu anavyokua, mara nyingi anakuwa na experience, majukumu, mahitaji na uwezo mkubwa zaidi wa kufanya maamuzi ya kununua kuliko mtu anayekuja online kutafuta vitu vya bure. Kwa hiyo usiangalie tu: “Ninaweza kuuza nini?” Angalia pia... “Nani anaweza kununua ninachouza?” Unaweza kuwa na product nzuri sana inayolenga vijana ambao ndio wapo wengi mtandaoni, lakini ukapata sales chache. Wakati mwingine unaweza kutengeneza offer rahisi inayolenga mtu mwenye miaka 40, 50 au 60+ ambaye ana tatizo kubwa na uwezo wa kulipia solution anao. Hapa ndipo utaona market research inapoanza kuwa muhimu zaidi. Followers sio sawa na PURCHASING POWER. Attention sio sawa na PESA. Ukitaka kutengeneza biashara, acha kuangalia tu watu wanaokufuatilia. Anza kuangalia nani ana tatizo, nani anahitaji solution na nani ana uwezo wa kulipia solution hiyo. Ukifanya hivi ndipo unaweza kuanza kuona pesa ambayo wengine hawaioni. Hii mimi nimeifanya kwenye YOUTUBE. Niliona tobo kwenye niche ya Dini na Mahusiano (Christian Relationships + Spirituality). Asilimia kubwa kwenye hii NICHE wenye interest sana ni WANAWAKE wakizungu wenye umri mkubwa... (40 - 65+ years) Hawa wana sumbuliwa sana na MAPENZI. Nime tengeneza pesa nzuri sana.. Hii ntakuja isimulia siku nyingine ila hizi DATA zinaonesha ni jinsi gani hii AGE GROUP ina purchasing power kubwa
Find exactly what you need across our curated collection of digital products
The most purchased products in the last 7 days across our marketplace
Discover the latest digital products added to our marketplace
Sale
Talented African creators building knowledge products for the world
I’m Ally, or Ali if you prefer. I started out in business administration and accounting, but m...
ScriptWriter || RichKid Content Creator || Life lessons daily. Think better. Live better ||
I write about Finances and Tech
A professional Veterinarian | Author and Tech Enthusiastic
Turning potential into power ⚡ Mindset | Skills | Discipline Built for winners 🏆 Move smart....
Join 55 creators already selling on HabariDuka. Earn up to 90% of every sale. Mobile money payouts. No upfront cost.