Mitego Ya Akili Ya Binadamu - FREE PDF
Free
35
Pages
Pdf
Format
Lifetime
Access
0
Sales
Description
Mitego ambayo huathiri:• Maamuzi yao • Mahusiano yao • Pesa zao • Furaha yao • Na mwelekeo mzima wa maisha yao
Utajifunza kwa nini watu huogopa kuanza.
Kwa nini overthinking huwazuia kuchukua hatua.
Kwa nini comparison huua furaha.
Kwa nini watu wengi hujikuta wakirudia tabia zile zile zinazowarudisha nyuma.
Na muhimu zaidi...
utaanza kujiona ndani ya mifano mingi iliyopo kwenye kurasa hizi.
Lengo la Series hii si kukufanya ujisikie vibaya.
Lengo ni kukusaidia kujitambua.
DOWNLOAD FREE PDF NOW...
About the Author
Customer Reviews
No reviews yet. Be the first to review!