Kwa Nini Unajua Kabisa Unatakiwa Kubadilika… Lakini Bado Unaendelea Kurudia Tabia Zile Zile? - FREE PDF
Free
4
Pages
Pdf
Format
Lifetime
Access
0
Sales
Description
Kuna kitu kinatokea kwa watu wengi sana.Unajua kabisa unapaswa kubadilika.
Unajua:
• Unapaswa Kuacha Kuchelewesha Mambo
• Unapaswa Kupunguza Muda Wa Kutumia Simu • Unapaswa Kuanza Kujifunza Kitu Kipya • Unapaswa Kuanza Kufanya Kitu Kitakachobadilisha Maisha Yako
Lakini siku zinaendelea kupita...
Na unajikuta bado uko kwenye tabia zile zile.
Kuna mtu aliwahi kuniambia
Kitu Kilichonifanya Nifikirie Sana.
About the Author
Customer Reviews
No reviews yet. Be the first to review!