Kwa Nini Maisha Yako Yanajirudia Hali Ile Ile Hata Ukijituma Sana -  FREE PDF

Kwa Nini Maisha Yako Yanajirudia Hali Ile Ile Hata Ukijituma Sana - FREE PDF

Free
22
Pages
Pdf
Format
Lifetime
Access
0
Sales

Promote this ebook & Earn!

Earn commission for every sale you refer. Join our Affiliate Program

Description

Hebu nikuulize kitu kimoja kwa uaminifu.

Umewahi kujikuta unasema:

• "Ninajituma, lakini maisha hayasongi" • "Kila nikianza upya, mambo yanarudia hali ile ile" • "Kuna watu wanajitahidi kidogo tu, ila wanapata zaidi yangu"

Utaniuliza: "Francis - kwa nini?"

Kwa sababu kuna kitu muhimu sana hukufundishwa.

Na sio kosa lako.

DOWNLOAD FREE PDF SASA HIVI.
Share this product: Facebook WhatsApp

About the Author

Francis

Photographer • Writer • I-AM-HIM

View all books

Customer Reviews

No reviews yet. Be the first to review!