MIN SIRI XYZ-Jinsi Ya Kupata Neema + Mfumo Wa Maisha Utakao Kupa Matokeo Makubwa (Kiuchumi/Kielimu/Kiafya).

MIN SIRI XYZ-Jinsi Ya Kupata Neema + Mfumo Wa Maisha Utakao Kupa Matokeo Makubwa (Kiuchumi/Kielimu/Kiafya).

5.0 (1 reviews)
TZS 9,500 TZS 14,500
84
Pages
Pdf
Format
Lifetime
Access
17
Sales

Promote this ebook & Earn!

Earn commission for every sale you refer. Join our Affiliate Program

Description

MIN SIRI XYZ sio kitabu cha kusoma tu.

Ni mfumo wa kuyabadilisha maisha yako.

Kama unahisi:
• Maisha yako hayana mwelekeo
• Unachoka haraka kiakili
• Unafanya kazi sana lakini matokeo hayaendani na juhudi zako
• Unahisi maisha yanakusonga pembeni

Basi soma mpaka mwisho...

Kwa nini watu wengi wanahisi wamekwama?

Kila siku:
✓ Wanaamka na mipango mingi
✓ Wanaanza vizuri lakini wanakata tamaa njiani
✓ Wanatafuta mafanikio lakini hawaoni matokeo
✓ Wanahisi kuchoka kiakili na kimawazo

Tatizo sio kwamba hawana uwezo.

Tatizo ni kwamba hawajawahi kuonyeshwa mfumo sahihi wa kuyaongoza maisha yao.

MIN SIRI XYZ imeandaliwa kukusaidia:
✓ Kupanga maisha yako kwa utulivu
✓ Kufikiria kwa uwazi
✓ Kufanya maamuzi sahihi
✓ Kuona fursa ambazo wengi hawazioni

Ndani ya MIN SIRI XYZ utajifunza:

1️⃣ Jinsi ya kuandaa siku yako kwa mpangilio wenye matokeo.

2️⃣ Jinsi ya kupata kibali cha Mwenyezi Mungu na kuishi kwa mwelekeo.

3️⃣ Siri zilizofichwa kuhusu mafanikio ya kweli.

4️⃣ Nguvu ya pesa na namna ya kutambua fursa zilizokuzunguka.

5️⃣ Life Pattern na namna inavyoathiri maisha yako.

6️⃣ Jinsi ya kupunguza msongo wa mawazo na kurejesha utulivu wa akili.

7️⃣ Jinsi ya kupata usingizi wenye amani na akili iliyotulia.

🔹 BONUS:

✓ Jinsi ya kuona fursa kabla wengi hawajaziona.

✓ Elimu ya uwekezaji:
Hisa, UTT AMIS, na mifumo mingine ya uwekezaji.

MIN SIRI XYZ ni kwa ajili ya mtu ambaye:

✓ Anataka kubadilisha maisha yake
✓ Anataka kuona fursa za pesa
✓ Amechoka kuishi bila mwelekeo
✓ Anataka utulivu wa akili
✓ Anataka kuelewa maisha kwa undani zaidi

Baada ya kusoma MIN SIRI XYZ utaweza:

✓ Kupanga siku zako kwa ufanisi zaidi
✓ Kupunguza msongo wa mawazo
✓ Kuona fursa za biashara na uwekezaji
✓ Kufanya maamuzi kwa utulivu na uhakika
✓ Kujenga maisha yenye nidhamu, mwelekeo, na matumaini

MIN SIRI XYZ sio kwa:
✗ Anayetaka mafanikio ya haraka bila juhudi
✗ Anayetaka pesa bila kujifunza na kuchukua hatua

Kwa Tsh 9,500 tu unaweza kuanza kubadilisha mfumo wa maisha yako.

Usiendelee kuona miaka inapita huku maisha yako yakibaki vile vile.

Bonyeza “BUY NOW” upate nakala yako ya MIN SIRI XYZ leo.
Guide
Share this product: Facebook WhatsApp

About the Author

Rapha | Mr Think In USD

View all books

Mambo wanayosema wasomaji wetu

Customer Reviews

Godwin Kabwelile May 07, 2026

MIN SIRI XYZ Imenisaidia kuweza kuipanga siku yangu vyema na pia kujua namna ya kutafuta fursa kwenye maisha yangu. Kwa kweli naona mabadiliko makubwa sana toka nifanyie kazi nilichokisoma, highly recommending.