Vibe Coding MASTERCLASS

Vibe Coding MASTERCLASS

TZS 150,000
-
Pages
Link
Format
Lifetime
Access
1
Sales

Promote this link & Earn!

Earn commission for every sale you refer. Join our Affiliate Program

Description

Tengeneza Software Halisi kwa Kutumia AI — Hata Kama Hujawahi Kuandika Code

Karibu kwenye Vibe Coding Masterclass, kozi iliyoundwa kwa watu wanaotaka kujenga software za kisasa bila kulazimika kutumia miaka mingi kujifunza programming kwa njia za zamani.

Tatizo kubwa la watu wengi wanaotumia AI leo ni kwamba wanajua kuomba code lakini hawajui jinsi ya kubuni mfumo mzima (system design). Matokeo yake wanapata applications ambazo zina bugs nyingi, hazina security, hazina scalability na mara nyingi haziwezi kutumika kwenye biashara halisi.

Katika masterclass hii, utafundishwa methodology inayotumika kujenga software za biashara kuanzia idea hadi production.

Utajifunza:

✅ Jinsi ya kufikiria kama Software Architect

✅ Jinsi ya kugeuza business idea kuwa software specification

✅ Jinsi ya ku-design databases zinazoweza kukua (scalable databases)

✅ Jinsi ya kutumia AI kama development team yako

✅ Jinsi ya kujenga web applications na mobile applications

✅ Jinsi ya kujenga POS Systems, CRM Systems, ERP Systems na SaaS Products

✅ Jinsi ya kuandika professional prompts zinazotoa matokeo bora

✅ Jinsi ya kutengeneza user roles na permissions

✅ Jinsi ya kufanya security audits kwenye systems zako

✅ Jinsi ya kutatua bugs na debugging kwa kutumia AI

✅ Jinsi ya ku-host na ku-deploy software production

✅ Jinsi ya kujenga software business inayoweza kukuingizia kipato

Kozi Hii Ni Kwa Ajili Ya Nani?

✔ Entrepreneurs wanaotaka kujenga software zao

✔ Business owners wanaotaka digital solutions

✔ Students wanaotaka kuingia kwenye dunia ya technology

✔ Freelancers wanaotaka kuongeza huduma wanazouza

✔ Startup founders wanaotaka kutengeneza MVPs haraka

✔ Watu wenye zero coding experience

✔ Developers wanaotaka kuongeza productivity kwa kutumia AI

Nini Kinakufanya Utofautiane Baada ya Kozi Hii?

Watu wengi wanajifunza coding.

Katika masterclass hii utajifunza:

How to build systems, not just write code.

Utaweza kuchambua biashara, ku-design workflows, kuandika requirements, kuongoza AI kujenga mfumo mzima na kuhakikisha mfumo huo unaweza kutumika kwenye mazingira halisi ya biashara.

Miradi Utakayojenga

Katika masterclass hii utajenga angalau moja ya mifumo ifuatayo:

• POS System

• CRM System

• ERP System

• Inventory Management System

• Savings & Investment Platform

• Loan Management System

• School Management System

• Hotel Management System

• SaaS Product

Mwisho wa Kozi

Mwisho wa mafunzo haya utakuwa na:

🎯 Mfumo uliokamilika na unaofanya kazi

🎯 Uelewa wa system architecture

🎯 Uwezo wa kutumia AI kujenga software za biashara

🎯 Uwezo wa ku-deploy software production

🎯 Framework kamili ya kuanzisha software projects zako

🎯 Maarifa ya kuanzisha software business au freelancing career

Mwalimu

Charles Chambila
Founder & Lead Systems Architect — HabariTech

"Usijifunze tu kuandika code. Jifunze jinsi ya kujenga systems zinazotatua matatizo ya dunia halisi."
Vibe Coding Software Development
Share this product: Facebook WhatsApp

About the Author

H

Habaritech

I write about Finances and Tech

View all books

Customer Reviews

No reviews yet. Be the first to review!