Excel kwa Vitendo – Kitabu cha 1: Msingi Imara
Overview
Reviews (0)
Comments
Creator
Excel iko kwenye kompyuta ya karibu kila ofisi, shule na duka, lakini wengi wanaitumia kama daftari lenye mistari: wanaandika namba, kisha wanajumlisha kwa calculator. Kitabu hiki kinakufundisha kuitumia kama inavyopaswa.
Kitabu cha kwanza katika mfululizo wa Excel kwa Vitendo kimeandikwa kwa Kiswahili rahisi. Majina ya amri na functions yameachwa kwa Kiingereza kama yanavyoonekana kwenye skrini yako, na kila mada inafundishwa kupitia kazi halisi za hapa nyumbani, kwa shilingi za Tanzania.
UTAKACHOJIFUNZA
• Kusogea ndani ya Excel na kusimamia workbooks na worksheets
• Kuingiza data kwa usahihi (namba za simu, NIDA, tarehe) na kuipa muonekano wa kitaalamu
• Formulas, relative na absolute references, na functions 12 za msingi (SUM, AVERAGE, COUNT, ROUND, TODAY na nyingine)
• Sort, Filter, Remove Duplicates, Data Validation na Excel Tables
• Charts zinazojibu swali moja wazi
• Ripoti 8 za kazini: mauzo, matumizi, mahudhurio, stoo, cashbook, marksheet na bajeti
• Kuchapisha, kuhifadhi kama PDF na kulinda kazi yako
KITABU KINA
• Sura 12, kurasa 104, rangi kamili, na vielelezo 38
• Mazoezi ya "Fanya Pamoja" na "Jaribu Mwenyewe" kwa kila sura
• Miradi 5 ya vitendo na tathmini ya mwisho yenye majibu
• Shortcuts za Windows na Mac, muhtasari wa formulas, na faharasa ya istilahi
• BONASI: workbooks 13 za mazoezi (.xlsx) zenye data, mifano na majibu
KINAFAA KWA
Wanaoanza kabisa, wanafunzi, makarani na makatibu, wamiliki wa biashara, na wahasibu wanaoanza kutumia Excel. Kinatumia Microsoft 365, na sehemu kubwa inafanya kazi kwenye Excel 2016, 2019, 2021 na 2024.

Customer Reviews
No reviews yet. Be the first to review!
Community Comments
Please log in to leave a comment.
Loading comments...