Pesa inaishia wapi?
Overview
Reviews (0)
Comments
Creator
💰 PESA YAKO INAISHIA WAPI??
Unapata pesa, lakini mwisho wa mwezi unajiuliza: “Pesa yangu imeishia wapi?” 😩💸
Pesa Yako Inaishia Wapi?? ni ebook rahisi na practical inayokusaidia kuelewa pesa zako zinaenda wapi, kupanga bajeti, kudhibiti matumizi na kuanza kuweka akiba kwa mpango.
Ndani yake utajifunza:
- 📊 Jinsi ya kufuatilia kila pesa unayotumia
- 💰 Jinsi ya kutengeneza budget inayokufaa
- 🚫 Kutambua na kupunguza matumizi yasiyo ya lazima
- 🎯 Kuweka malengo ya kifedha
- 🏦 Kuanzisha mfumo wa kuweka akiba
- 📖 Kutumia money tracker/budget planner kusimamia fedha zako
Hiki si kitabu cha kusoma tu—ni mwongozo wa kuanza kubadilisha namna unavyosimamia pesa zako.
Usingoje mpaka pesa ziishe ndipo uanze kujiuliza zilienda wapi. Anza kuzisimamia leo. 💵✨
By Angel

Customer Reviews
No reviews yet. Be the first to review!
Community Comments
Please log in to leave a comment.
Loading comments...