FAHAMU KUHUSU UGONJWA WA KISONONO (GONORRHEA)
Gonorrhea ni ugonjwa unaosababishwa na bacteria aina ya gonococcus wajulikanao kama Neisseria gonorrhoeae.
Hapa tutaangazia kwa kifupi sana vitu vinne kuhusu gonorrhea
→Maambukizi
→Dalili (utagundua vitu unaambukizwa gono) commonly kwa wanaume.
→ matibabu ( Dawa za kutibu na namna sahihi ya kutumia)
→Namna ya kujikinga .
MAAMBUKIZI
Ugonjwa huu unaambukizwa kwa njia ya kujamiiyana (Sexual transmission). Asilimia kubwa wanaume hupata Gonorrhea baada ya unprotected sex with infected partner.
DALILI ZA GONORRHEA KWA MWANAUME
· hutokwa na usaa au majimaji kwenye njia ya mkojo. (Penile Discharge)
·Kupata maumivu wakati wa kukojoa au kuhis mkojo unamchoma (Dsyuria)
NOTE: dalili zote hizi huonekana ndani ya masaa72 tuu baada ya kufanya Mapenzi na mwanamke kwenye Gono.
MATIBABU
-Azithromycin 1g PO start
-cefixime 400mg PO start
Au
-Inj. Ceftriaxone 1g IV start
-Metronidazole 2g PO start
-Dxycyline 100mg PO b.d ×7/7
NAMNA YA KUJIKINGA
-Kutumia kondom
-kuwa mwaminifu kwa mwenza/mpenz wako
-kuhakikisha mwenzio na anapatiwa matibabu sahihi