Kuna kipindi nilikuwa naishi kama watu
wengi sana wanaoishi kwenye “autopilot”.
Nafikiri hilo sio neno geni sana masikoni Pako.
Ndani ya Dakika 2, Utaelewa kinaga ubaga
kuhusu namna gani sheria Hizi Zilivyonisaida
kwa namna nyingi ndani na nje ya maisha yangu
“Maisha ni magumu.”
“Bahati yangu ni mabaya.”
“Watu kama sisi hatuendi mbali.”
Imagine Hizo ndizo zilikuwa kauli zangu za kila siku
- Nilibadilisha miji, marafiki, kazi, na mambo mengine kibao
lakini pattern ilikuwa ile ile:
- pesa zinapita mikononi kama maji
- mahusiano yanajirudia kwa sura tofauti lakini maumivu yale yale
- ndani yangu kuna kelele: hofu, lawama, kujilinganisha, na kujiona “sitoshi”
Kila nikiona mtu ana “flow” ya maisha – kazi, pesa, upendo, utulivu –
nilihisi kama kuna siri wanajua ambayo mimi sijafundishwa. 💔
Siku mojas nilikaa chini nikajiuliza:
“Hivi, kweli haya yote ni bahati mbaya…
au kuna sheria fulani zinazoendesha haya maisha, ambazo sizijui?”
Hapo ndipo safari ya SHERIA 12 ZA ULIMWENGU ilipoanza.
KUGUNDUA KUNA SHERIA ZINAENDESHA KILA KITU
Siku moja sina hili wala lile, Wakati nascroll TIKTOK
NIKAKUTANA NA VIDEO MOJA,
alikuwa ni mwanamke ambaye anayeelezea
Kuhusu Sheria hizi zinazoongoza Ulimwengu na maisha ya mwanadamu. Nilipokutana na Video hii sijui nini kilinisimamisha pale nikaKaa kusikiliza mpaka mwisho;...
Then BOOM! KUNA KITU NIKAKISIKIA NDANI YANGU KIME CLICK.
Nilipogundua concepts kama:
- Sheria ya Akili: “Kila kitu ni mawazo kwanza.”
- Sheria ya Ulinganifu: “Kama ilivyo ndani, ndivyo ilivyo nje.”
- Sheria ya Sababu na Athari: “Matokeo yako hayakuji kwa bahati – yanakuja kwa mpangilio.”
niligundua kitu cha kunitikisa kabisa:
Sikuwa naishi tu.
Nilikuwa nazitumia Sheria hizi KILA SIKU – lakini kwa kutozifahamu.
- Kila niliporudia mawazo ya hofu, nilikuwa napanda mbegu
- Kila nilipolalamika badala ya kuwajibika, nilikuwa nathibitisha Sheri ya Sababu & Athari
- Kila nilipoishi kwenye vibration ya lawama, Nilikuwa narejesha hali hiyohiyo ndani ya maisha yangu.
lakini bado nikaendelea kjujiuliza mswali mengi.
“Sheria hizi zipo kweli?” au ndio Content tu za Mitandaoni.
“Nazitumia kwa kujua au nazitumia bila kujua?” Kivipi?
Niendelea kujiuliza maswali mengi yasiyokuwa na majibu. Na hapa ndipo safari yangu rasmi ya kujifunza Sheria hizi ilipofunguka,...na sio kujifunza tu bali kuziishi na kuzifuata na kuwa sehemu ya maisha yangu ya kilasiku.
NA haya ndiyo matokeo ya safari hiyo – ya kuziandika Sheria hizi 12 kwa lugha rahisi ya KISWAHILI, ndani ya eBOOK utakutana na Mifano halisi: mifano ya pesa, mahusiano, nafsi na kiroho – ili msomaji yeyote aweze Kuzielewa, kuziishi, na sio kuzisikia tu....
Utaniuliza: "Francis, SHERIA 12 ZINAFANYA NINI KWENYE MAISHA YANGU?"
Twende Taratibu:
Hizi sio “theories”; ni framework ya maisha yako ya kila siku:
1. Sheria ya Akili (Mentalism)
Inakufundisha kwamba maisha yako ni bidhaa ya kile kinachoendelea kichwani. “Kila wazo ni mbegu. Kila imani ni udongo.” Ukibadilisha maisha ya ndani, bidhaa ya nje inaanza kubadilika.
2. Sheria ya Ulinganifu (Correspondence)
“Maisha yako ya nje ni kioo cha hali yako ya ndani.” Badala ya kulaumu mazingira, unaanza kusoma maisha kama ujumbe:“Ni nini ndani yangu kinachoakisiwa hapa?”
3. Sheria ya Mtetemo (Vibration)
“Wewe ni kama redio. Unachochagua kurusha hewani, ndicho kinachorudi kwako.” Inakuonyesha kwa nini ukiishi kwenye hofu, wivu, hasira – mara nyingi mambo yanarudi kukuthibitishia hisia hizo; na jinsi ya kubadili signature ya hisia zako.
4. Sheria ya Kuvutia (Attraction)
Haikufundishi “kaa nyumbani utafakari, pesa zishuke.” Inakuonyesha muunganiko wa mawazo + mtetemo + kitendo. “Huvuti kile unachotaka, unavuta kile ulichonacho ndani yako.”
5. Sheria ya Kitendo (Inspired Action)
“Ulimwengu haujalishi unachotamani. Unajibu kile unachothubutu kufanya.” Inakuvuta kutoka kwa kusoma tu na kuingia kwenye hatua ndogo za kila siku zinazobadilisha trajectory ya maisha.
6. Sheria ya Sababu na Athari (Cause & Effect)
“Matokeo yako hayakuji kwa bahati. Yanakuja kwa mpangilio.” Inakuondoa kwenye mentalidad ya “mkosi” na kukuleta kwenye uwajibikaji: kubadili mbegu = kubadili mavuno.
7. Sheria ya Mdundo (Rhythm)
Inakusaidia kuacha kutaka kuwa “juu” 24/7. Unaanza kuelewa misimu ya maisha – kupanda & kushuka – na namna ya kujiandaa na kustahimili bila kuvunjika.
8. Sheria ya Uwili (Polarity)
“Kila kitu kina pande mbili.”
Maumivu ↔ mafunzo, giza ↔ mwanga.
Inakufundisha kugeuza majeraha na vikwazo kuwa daraja la mabadiliko ya ndani.
9. Sheria ya Jinsia (Gender)
Sio kuhusu mwanaume/mwanamke, bali nishati ya kiume (kitendo, maamuzi, nidhamu) na nishati ya kike (ubunifu, intuition, upokeaji).
Mafanikio yanatokea pale unapotengeneza uwiano, si kupendelea upande mmoja hadi unachoka au kukwama.
10. Sheria ya Fidia (Compensation)
“Unalipwa sio tu kwa unachofanya, bali kwa jinsi unavyokifanya na mtu wa aina gani unakuwa unapokifanya.” Inaonyesha connection kati ya thamani, character, nidhamu, na kiwango cha baraka/fursa.
11. Sheria ya Relativity (Relativity)
Inakuvuta kutoka kwenye “kujichapa vibaya” kwa kujilinganisha na Instagram, hadi kujilinganisha na jana yako – kuona progress badala ya chuki.
12. Sheria ya Umoja wa Kimungu (Divine Oneness)
Inakukumbusha: hauko peke yako, haujatupwa.
Kila wazo, hisia, tendo – vinagusa mfumo mzima. Unapobadilisha namna unavyojiona na unavyowaona wengine, maisha yako yote yanapata lensi mpya.
UNAWEZA UKAWA UNAJIULIZA MASWALA HAYA BILA KUPATA MAJIBU
- Kwa nini unaendelea kubadilisha kazi, wapenzi na miji… lakini story ya maumivu inarudi kuwa pale pale?
- Kwa nini watu wawili wanaomba, wanafunga, wana-declare, lakini matokeo yao ni tofauti sana? Yaani kila mtu anaishi Dunia yake.
- Kwa nini Unaa kili nyingi lakini bado umekuwa ukiishi maisha yasiyoeleweka, unabaki kuambiwa unaakili nyingi tu?.💔
Majibu yake hayapo kwenye bahati.
Yapo kwenye Sheria unazozitumia bila kujua.
SHERIA 12 ZA ULIMWENGU ni mwaliko wa kuacha kuishi kwa kubahatisha,
(“autopilot”) na kuanza kuishi kwa ufahamu, uwajibikaji, na mfumo unavyotaka.
MAZOEZI YA SIKU 21: KUZIISHI, SIO KUZISOMA TU
Vitabu/Kozi nyingi zinakuacha na “notes nyingi” bila mabadiliko.
Ila Ndani ya eBook hii, kuna:
- mpango wa siku 21 wa mazoezi
- maswali ya tafakari
- mazoezi ya kufuatilia mawazo, hisia, maneno na vitendo
ili baada ya wiki tatu, usiwe tu umesoma Sheria,
bali umeanza kuhamisha mzunguko wa maisha yako kidogo kidogo.
“MWISHO NI MWANZO MPYA.”
chukua eBOOK yako Hapa: https://duka.habaritechnology.com/book.php?slug=sheria-12-za-ulimwengu
