Kila mtu anatamani siku moja awe na biashara hasa hasa kwa miaka hii ambayo Dunia ni kiganja tunaona mafanikio ya wenzetu kwa uharaka na kutamani na wewe pia ufike hapo.
Lakini ukishakaa mezani unagundua kua Kuna kikwazo kikubwa mbele Yako.. kikwazo hiko ni uoga unaokuja kwa mazingira tofautitofauti.
Nimeandika kitabu kifupi sana kinachofafanua na kuelezea uoga huu. Kwa mfumo ambao unakupa matumaini ya kusimama na kuanza.
Kwa tsh 3500 tu unajipatia kopi Yako. Usichelewe kujifungua kutoka kwenye kifungo cha uoga.
Hata kusema kitabu hiko sikihitaji nacho ni kifungo akili imekuwekea.
Nunua hiki kitabu na uanze kujifungua taratibu.