
Kuna kitu muhimu sana nataka uone kwenye hii PICHA.
YouTube yangu imeniletea zaidi ya $4,000 kupitia Super Thanks na Memberships. Kumbuka hizi si earnings za matangazo.
Ni pesa ambazo viewers walitoa kwa hiari yao kama shukrani na support kwa content waliyoiona ina thamani.
Hii imenifundisha kitu kimoja...
Huhitaji kutegemea monetization ya YouTube pekee ili content yako ikutengenezee pesa.
Kama una niche yenye audience inayo kuthamini, unaweza kujenga mfumo wa DONATIONS, MEMBERSHIPS, DIGITAL PRODUCTS, SERVICES au COMMUNITY na kuanza kupata income moja kwa moja kutoka kwa audience yako.
Kwa hiyo usifikirie tu, “Nikiwa approved na Adsens, pamoja na views milioni ndiyo nitaanza kutengeneza pesa.”
Tengeneza content ambayo watu wanaona ina thamani kiasi kwamba wako tayari kulipa, kusupport au kununua kitu kutoka kwako.
Audience sio views tu. Audience ni ASSETS.
P.S:
Kama bado hujapata kitabu changu, cha “THE INTERNET ATM”, na unataka kujifunza jinsi ya kutumia Internet kutengeneza income online, nicheki WhatsApp sasa hivi: 0712988589. Andika “THE INTERNET ATM”.
Au bofya hapa → https://shorturl.at/AMVl9