Jinsi ya kutengeneza na kuuza digital product

Jinsi ya kutengeneza na kuuza digital product
Overview
Reviews (0)
Comments
Creator
JINSI YA KUTENGENEZA NA KUUZA BIDHAA ZA KIDIJITALI

Unataka kuanza biashara ya mtandaoni bila kuhitaji bidhaa za kushikika? Mwongozo huu utakusaidia kuelewa jinsi ya kutengeneza na kuuza bidhaa za kidijitali kwa kutumia ujuzi, maarifa na ubunifu ulionao.

Ndani ya mwongozo huu utajifunza:

• Bidhaa za kidijitali ni nini na zinafanyaje kazi
• Aina mbalimbali za bidhaa za kidijitali unazoweza kutengeneza
• Jinsi ya kuchagua wazo la bidhaa lenye thamani
• Jinsi ya kutengeneza eBook, templates, guides na bidhaa nyingine
• Zana unazoweza kutumia kutengeneza bidhaa zako
• Jinsi ya kuweka bei ya bidhaa yako
• Jinsi ya kuandaa bidhaa kwa ajili ya kuuza mtandaoni
• Jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii kuitangaza
• Jinsi ya kupata wateja na kuongeza mauzo
• Makosa ya kuepuka unapokuwa unaanza
• Njia za kujenga biashara ya kidijitali hatua kwa hatua

Mwongozo huu unafaa kwa wanaoanza kabisa, wanafunzi, creators, freelancers na mtu yeyote anayetaka kuanza kuuza maarifa au ubunifu wake mtandaoni.

Anza na kile ulicho nacho, tengeneza bidhaa yenye thamani, kisha ifikishe kwa watu wanaohitaji.

Anza safari yako ya kujenga biashara ya kidijitali leo.

— @skana
bidhaa za kidijitali online business biashara mtandaoni

Customer Reviews

No reviews yet. Be the first to review!

Community Comments

Please log in to leave a comment.
Loading comments...
Share this product: Facebook WhatsApp

About the Author

B

BONIPHACE SETH SIKANA

View all books
TZS 8,000
46
Pages
Pdf
Format
Lifetime
Access
0
Sales

Promote this ebook & Earn!

Earn commission for every sale you refer. Join our Affiliate Program

Secure Checkout via Mobile Money & Cards
Instant Delivery

You might also like