Jinsi ya Kuwa Masikini

Jinsi ya Kuwa Masikini

TZS 19,999
-
Pages
Pdf
Format
Lifetime
Access
0
Sales

Promote this ebook & Earn!

Earn commission for every sale you refer. Join our Affiliate Program

Description

Katika kitabu utagundua makosa na maamuzi yako mabaya unayoyarudia mara kwa mara yanavyochangia kukufanya uendelee ukuukumbatia umasikini wako vizuri.

Utagundua kuwa kuna mamilioni ya PESA unayapoteza kila mwezi kwa kutokufahamu tu jinsi ya kuongeza thamani yako na kutatua changamoto za watu wengine.

NB-Lugha iliyotumika kwenye kitabu hiki sio laini ya kuupaka uongo mafuta ili unukie vizuri.

Kitabu hiki kimeandikwa kwa ukweli mchungu utakao kuonyesha jinsi gani uzembe wako wa kutokutafuta maarifa na ujuzi unavyozidi kukudidimiza kwenye kina cha umasikini na ufukara uliokithiri.

Ndani ya kitabu hiki utakutana na ukweli mchungu ambao pengine hata rafiki zako hawawezi kukuambia huku wakikutazama usoni.

Kwa hiyo kama hujazoe lugha inayochoma moyo na nafsi basi kitabu hiki hakikufai kabisa kusoma tafuta kitabu kingine.

Ila kama uko tayari kutambua chanzo cha umasikini wako wa kipato na kifikra na uko tayari kujifunza na kujirekebisha ili ufanikiwe, basi karibu on board.
Share this product: Facebook WhatsApp

About the Author

C

Coach Paul Bomani

Helping you own & grow valuable assets 🏠 Realtor 🚘 Car Sales Expert 📊 Digital Marketing & Branding Strategist ✍️ Author | Founder - Makazi General & Swahili Marketing 📩 DM now Consultation & Collaboration.

View all books

Customer Reviews

No reviews yet. Be the first to review!