Siri za Uwekezaji wa Ardhi na Majengo Tanzania
Overview
Reviews (0)
Comments
Creator
SIRI ZA UWEKEZAJI WA ARDHI NA MAJENGO TANZANIA
TOLEO LA KWANZA
Na Coach Paul A. Bomani | Real Estate Investment & Marketing Strategist
Je, una mpango wa kuwekeza kwenye ardhi na majengo Tanzania?
Kuna tofauti kubwa kati ya kununua kiwanja, nyumba au shamba na kufanya uwekezaji wenye mantiki ya kibiashara.
Watu wengi wanaamini kwamba kumiliki viwanja vingi au nyumba nyingi ndiyo njia ya kujenga utajiri kupitia Real Estate.
Lakini ukweli ni kwamba si kila mali inayouzwa ina fursa nzuri ya uwekezaji.
Mali inaweza kuwa na bei nzuri lakini ikawa na changamoto ya kuuzika. Eneo linaweza kuonekana linakua lakini lisikuwa na mahitaji halisi ya wateja unaowalenga.
Na wakati mwingine unaweza kufungia mtaji wako kwenye mali ambayo haikupi matokeo uliyokuwa unayatarajia.
Ndiyo maana kabla hujaweka fedha zako kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo, unahitaji zaidi ya kusikia watu wakisema eneo fulani lina faida.
Unahitaji kuelewa biashara yenyewe.
Kitabu hiki kimeandaliwa kwa ajili ya nani?
Mwongozo huu unakufaa kama:
- Una mtaji na unataka kuanza kuwekeza kwenye ardhi na majengo.
- Unapanga kununua kiwanja, nyumba au shamba kwa malengo ya uwekezaji.
- Tayari unamiliki ardhi au majengo na unataka kuyaangalia kama fursa za kibiashara.
- Unataka kujifunza namna ya kutathmini fursa kabla ya kufanya maamuzi ya kifedha.
- Unataka kuingia kwenye biashara ya Real Estate kwa mtazamo wa kimkakati.
- Unafanya biashara ya ardhi na majengo na unataka kuongeza uelewa wako wa soko.
Kwa nini unahitaji kusoma kitabu hiki?
Kwa sababu maamuzi ya uwekezaji yanahitaji taarifa, uchambuzi na uelewa wa soko.
Badala ya kununua mali kwa sababu tu mtu amekuambia itapanda bei, jifunze kujiuliza:
1. Kwa nini nichague eneo hili?
2. Ni aina gani ya wateja wanaohitaji mali katika eneo hili?
3. Kuna mahitaji gani halisi ya soko?
4. Ni kwa namna gani mali hii inaweza kuzalisha mapato?
5. Nitauzaje au kuitumiaje mali hii baadaye?
6. Ni hatari gani ninazopaswa kuzitambua kabla ya kuwekeza?
Ujumbe wangu kwako
Mimi ni Paul A. Bomani, Real Estate Investment & Marketing Strategist.
Kupitia uzoefu wangu katika biashara ya ardhi na majengo, nimejifunza kwamba mafanikio kwenye Real Estate hayatokani tu na kuwa na mali nyingi.
Yanahitaji uwezo wa kutambua mali sahihi, kuelewa mahitaji ya soko na kupanga uwekezaji kulingana na mtaji na malengo yako.
Nimeandaa kitabu hiki ili kukusaidia kuanza kuangalia Real Estate kwa mtazamo mpana zaidi.
Anza kujenga uelewa kabla ya kuweka mtaji wako.
Siri za Uwekezaji wa Ardhi na Majengo Tanzania – Toleo la Kwanza.
Mwandishi:Paul A. Bomani.
Usisubiri mpaka ufanye makosa ya gharama kubwa ndipo uanze kutafuta maarifa.
Jifunze. Chambua.Pima . Kisha wekeza kwa uelewa.

Customer Reviews
No reviews yet. Be the first to review!
Community Comments
Please log in to leave a comment.
Loading comments...