NYUMA YA TABASAMU

NYUMA YA TABASAMU
Overview
Reviews (0)
Comments
Creator
NYUMA YA TABASAMU ni simulizi inayogusa maisha ya mwanadamu kwa kuangazia hisia, changamoto na maumivu ambayo mara nyingi hufichwa nyuma ya tabasamu.

Katika maisha, si kila anayetamabasamu huwa hana huzuni, na si kila anayesema “niko vizuri” huwa hana changamoto. Kila mtu anaweza kuwa na hadithi ambayo haionekani kwa macho ya wengine.

Kupitia simulizi hii, msomaji ataona umuhimu wa kuelewa hisia za wengine, kuwa na huruma, kusikiliza na kutokuhukumu mtu kwa kile kinachoonekana kwa nje. Ni simulizi linalokumbusha kwamba nyuma ya kila tabasamu kunaweza kuwa na hadithi kubwa inayostahili kusikilizwa.

Customer Reviews

No reviews yet. Be the first to review!

Community Comments

Please log in to leave a comment.
Loading comments...
Share this product: Facebook WhatsApp

About the Author

E

ELIMISHA MEDIA

Mwandishi na mtayarishaji wa vitabu, magazeti na simulizi mbalimbali. Ninalenga kutoa maandishi yenye maarifa, burudani na ujumbe unaogusa maisha ya jamii.

View all books
TZS 2,500
-
Pages
Pdf
Format
Lifetime
Access
0
Sales

Promote this ebook & Earn!

Earn commission for every sale you refer. Join our Affiliate Program

Secure Checkout via Mobile Money & Cards
Instant Delivery

You might also like