SAIKOLOJIA_Enock Kilanga
Overview
Reviews (0)
Comments
Creator
Kitabu hiki cha Saikolojia kinaelezea nguvu iliyojificha nyuma ya mawazo, hisia, na tabia za binadamu katika maisha ya kila siku. Kinaangazia Saikolojia ya Mapenzi, Saikolojia ya Kijamii, Saikolojia ya Watumiaji, pamoja na Saikolojia ya Masoko, ili kuwasaidia wasomaji kuelewa mahusiano, ushawishi wa kijamii, tabia za wateja, na mbinu za kisaikolojia zinazotumika kwenye marketing.
Kitabu hiki kinatoa maarifa ya saikolojia kwa lugha rahisi na inayovutia, maalum kwa watu wenye akili zinazopenda kuelewa mambo kwa undani na kuyatumia kwenye maisha halisi.
Kitabu hiki kinatoa maarifa ya saikolojia kwa lugha rahisi na inayovutia, maalum kwa watu wenye akili zinazopenda kuelewa mambo kwa undani na kuyatumia kwenye maisha halisi.
Customer Reviews
No reviews yet. Be the first to review!
Community Comments
Please log in to leave a comment.
Loading comments...