Kumpata mwanaume wa ndoto zako

Kumpata mwanaume wa ndoto zako
Overview
Reviews (0)
Comments
Creator
Je, umechoka kuingia kwenye mahusiano yasiyo na mwelekeo? Unatamani kumpata mwanaume anayekuheshimu, kukuthamini na kuwa tayari kujenga maisha pamoja?

Kumpata Mwanaume wa Ndoto Zako ni mwongozo unaokusaidia kuelewa unachotafuta katika mahusiano, kutambua mwanaume anayekufaa, kuepuka mahusiano yenye ishara za hatari na kujenga uhusiano wenye msingi wa heshima, mawasiliano na upendo.

Ndani ya kitabu hiki utapata mawazo na mbinu rahisi za kukusaidia kufanya maamuzi bora katika safari yako ya mapenzi na kuelekea kwenye mahusiano yenye mwelekeo wa ndoa.

Mwandishi: Tumayra

Customer Reviews

No reviews yet. Be the first to review!

Community Comments

Please log in to leave a comment.
Loading comments...
Share this product: Facebook WhatsApp

About the Author

F

FATMA BARAKA

Author of inspiring stories and children's books

View all books
TZS 15,000
10
Pages
Pdf
Format
Lifetime
Access
0
Sales

Promote this ebook & Earn!

Earn commission for every sale you refer. Join our Affiliate Program

Secure Checkout via Mobile Money & Cards
Instant Delivery

You might also like