CASH OUT YOUR BRAIN

Overview
Reviews (0)
Comments
Creator
Rafiki Mpendwa…

Baada ya kusoma makala hii mpaka mwisho—

utaenda kugundua Shortcut ya Uhakika itakayokutoa milele kwenye mateso ya...

—Kupoteza bando lako bure na kulalamika huna mtaji:

—Kujua vitu vingi kichwani lakini huingizi hata mia

—Kupoteza muda kusoma memes na kuangalia status za show-off

—Kutegemea chanzo kimoja tu cha kipato kinachokubana
Kuteseka kutafuta ajira huku umekalia dhahabu kichwani

…hata kama huna jina kubwa, huna wafanyakazi, na hujawahi kuuza kitu chochote mtandaoni!

Mbinu hizi zilizothibitishwa zinasimamiwa na wajanja wachache wanaochapisha pesa mtandaoni..

Bila kuwa na ofisi, website, wala mtaji mkubwa.

Ni shortcut ya uhakika ya kutengeneza Mshahara Wa Pili,

Uhuru Wa Kipato, na Kugeuza Simu Yako Kuwa Mashine Ya Cash Flow.

Kama umeambiwa kuwa njia pekee ya kuanza biashara ni kuwa na...

mamilioni ya fedha, fremu ya duka, au bidhaa za kushika—UMEDANGANYWA!

Kwani katika hii Zama ya Taarifa tunayoishi leo, ukweli ni mmoja tu:

Wanaotengeneza pesa nyingi zaidi siyo wale wanaofanya kazi ngumu kwa nguvu:

bali ni wale wanaouza maarifa yao sokoni!

Uzuri wa kutumia mbinu utakazoenda kuziona ndani ya sekunde chache zijazo ni kwamba:

Huhitaji kumiliki mtaji mkubwa wa mamilioni.

Huhitaji duka, fremu, ofisi, wala website ya gharama.

Huhitaji kuwa "expert" au daktari mwenye digrii tano.

Huhitaji kuacha kazi yako ya sasa—hii ni side hustle ya dakika chache tu kila siku!

Kuna sababu kuu 3 tu kwa nini watu wengi wenye akili wanaendelea kuwa maskini huku wameshika simu kubwa:

Kudharau unachojua: Unadhani kile unachokijua ni kidogo au cha kawaida,

ukisahau kuwa kuna mtu yuko radhi kulipa fedha ili kuokoa muda na kupata suluhisho kirahisi kutoka kwako.

Kuchanganya "Likes" na "Income": Unapambana usiku na mchana kupata followers 10,000 Instagram:

au TikTok, lakini huna funnel (mtego) ya kuwahamishia WhatsApp ili DM zigeuke kuwa pesa!

Kutumia WhatsApp kama sehemu ya umbea:

Unatumia App inayotumiwa na 95% ya Watanzania kupost memes na kuangalia status za watu:

Badala ya kuifanya kuwa kiwanda chako cha biashara.

Badala yake, fanya hivi leo:

Badala ya kupoteza bando lako bure, tumia mfumo huu sahihi wa kugeuza ujuzi wako, kipaji, uzoefu,

Au hobby unayoifanya kwa furaha kuwa bidhaa

Ukishaituma kwenye WhatsApp yako, unaenda kusema kwaheri ya milele:

—kulia shida ya mtaji,

—kufanya kazi ngumu huku akili yako kubwa ikiwa imelala ndani yako.

Kupitia mwongozo huu wa kipekee, utaenda kugeuza kabisa inbox yako:

kuwa ATM ndani ya siku chache zijazo kwa sababu:

Utajifunza hatua kwa hatua..

—jinsi ya kugundua dhahabu (bidhaa) iliyofichwa ndani ya yako kwa sasa.

Utapata Siri 5 Kuu za kuuza kupitia WhatsApp Status, Groups, na Broadcast kwa ufanisi wa juu wa hadi 98%.

—Utaonyeshwa ramani kamili ya kuwatoa wateja Instagram, TikTok, na Facebook

...na kuwaleta kwenye WhatsApp yako wakiwa tayari na fedha mkononi.

—Utapata mbinu ya kutengeneza Passive Income** (kipato endelevu)

"unafanya kazi mara moja, unalipwa mara mis"

—Utaweza kuuza bidhaa zako bila kuhitaji kuwa maarufu au kuwa na ofisi ya kifahari.

…Pamoja na Siri nyingine kibao!

Customer Reviews

No reviews yet. Be the first to review!

Community Comments

Please log in to leave a comment.
Loading comments...
Share this product: Facebook WhatsApp

About the Author

Financial Markets

Financial Markets

View all books
TZS 7,000
-
Pages
None
Format
Lifetime
Access
0
Sales

Promote this ebook & Earn!

Earn commission for every sale you refer. Join our Affiliate Program

Secure Checkout via Mobile Money & Cards
Instant Delivery

You might also like