Generative AI: Jinsi Akili Bandia Inavyounda Maudhui Mapya.
Overview
Reviews (0)
Comments
Creator
Generative AI ni mojawapo ya maeneo yanayokua kwa kasi katika teknolojia ya Artificial Intelligence. Notes hizi zinaeleza Generative AI kwa lugha rahisi na inayoeleweka, kuanzia dhana za msingi hadi mada za kina kama Large Language Models, Transformers, prompts, multimodal AI, image generation, AI agents, RAG, fine-tuning na matumizi salama ya AI.
Utajifunza jinsi Generative AI inavyoweza kutumika katika uandishi, elimu, utafiti, programming, biashara, graphic design, content creation, audio, video na shughuli nyingine mbalimbali.
Pia utaelewa faida na changamoto za teknolojia hii, ikiwemo AI hallucinations, privacy, copyright, bias na umuhimu wa kuthibitisha taarifa zinazotolewa na AI.
Notes hizi zinafaa kwa wanafunzi, waandishi, content creators, freelancers, wafanyabiashara na mtu yeyote anayependa kuelewa teknolojia ya kisasa ya Generative AI.

Customer Reviews
No reviews yet. Be the first to review!
Community Comments
Please log in to leave a comment.
Loading comments...