HISA Portfolio Tracker

HISA Portfolio Tracker

TZS 10,000
-
Pages
Link
Format
Lifetime
Access
0
Sales

Promote this link & Earn!

Earn commission for every sale you refer. Join our Affiliate Program

Description

DSE Portfolio Tracker ni template ya kisasa iliyotengenezwa kusaidia wawekezaji kufuatilia uwekezaji wao kwenye soko la hisa la DSE kwa urahisi zaidi.

Kwa kutumia template hii unaweza:

Kurekodi manunuzi na mauzo ya hisa
Kufuatilia profit na loss zako
Kuona average buying cost ya kila hisa
Kujua idadi ya hisa ulizonazo muda wowote
Kufuatilia gharama za miamala (fees)
Kuona hesabu zikiji-update moja kwa moja

Template hii ni rahisi kutumia hata kama wewe ni beginner kwenye uwekezaji wa hisa. Inafanya kazi kwenye Microsoft Excel na Google Sheets.

Inafaa kwa:

Wawekezaji wa DSE
Waanzilishi wa uwekezaji
Watu wanaotaka kuweka kumbukumbu nzuri za portfolio zao

Rahisi. Safi. Professional. 🚀
dse uwekezaji biashara
Share this product: Facebook WhatsApp

About the Author

H

Habaritech

I write about Finances and Tech

View all books

Customer Reviews

No reviews yet. Be the first to review!