Ulimwengu Usioonekana: Majini, Uchawi na Ruqya | The Unseen World: Jinn, Magic and Ruqyah (Hazina za Maarifa 1)
Overview
Reviews (0)
Comments
Creator
Ulimwengu Usioonekana ni kitabu cha kwanza katika mfululizo wa Hazina za Maarifa (Treasures of Knowledge) — vitabu 8 vya watu wazima kuhusu mada zinazowavutia na kuwahusu Waislamu wengi, kwa msingi wa Qur'an na Sunna sahihi na maelezo ya wanachuoni wa Sunna (Ibn Taymiyyah, Ibn al-Qayyim, Ibn Baz, Ibn 'Uthaymin, al-Ashqar, Wahid Bali).
Ndani yake:
• Majini ni nani, wameumbwa kwa nini, wanaweza nini na hawawezi nini
• Sulayman na majini; jinsi Shetani anavyonong'oneza
• Kupagawa: ukweli na kutia chumvi
• Uchawi, waganga, wapiga ramli, nyota na hirizi
• Ngome ya kila siku: adhkar na tabia za Sunna
• Ruqya sahihi na jinsi ya kujisomea mwenyewe
• Alama za waganga wa uongo; hali halisi za maisha; maswali ambayo watu huuliza
• Viambatisho: aya za ruqya kwa Kiarabu na orodha ya ngome ya kila siku
Utapata:
• Toleo la Kiswahili (kurasa 91, pamoja na Kiarabu) — faili kuu (PDF)
• Toleo la Kiingereza (kurasa 90) — faili ya ziada (PDF)
———
The Unseen World is Book 1 of Treasures of Knowledge, an 8-book adult series grounded in the Qur'an and authentic Sunnah. It covers the jinn, the whispers of Shaytan, possession, magic, fortune-tellers and amulets, the daily fortress of adhkar, authentic ruqyah, and how to recognise false healers. You receive the Kiswahili edition (main PDF) plus the English edition (bonus PDF).
Mwandishi / Author: Hudhayfa S. Maulidi

Customer Reviews
No reviews yet. Be the first to review!
Community Comments
Please log in to leave a comment.
Loading comments...
You might also like
Kiarabu cha Swala Yangu | The Arabic of My Salah (Kiarabu Changu cha Kwanza 8)
TZS 3,000
TZS 5,000
Udhu Wangu | My Wudu (Fiqhi Yangu ya Kwanza 3)
TZS 3,000
TZS 5,000
Mitume na Vitabu vya Allah | Allah's Messengers and Books (Mfululizo wa Tawhidi 6)
TZS 3,000
TZS 5,000
Ushindi na Kuaga | Victory and Farewell (Sira Yangu ya Kwanza 8)
TZS 3,000
TZS 5,000