Six laws of Money
Overview
Reviews (0)
Comments
Creator
Kwa nini usiipoteze utu wako kwa sababu ya pesa.
Jinsi ya kudhibiti tamaa na kujua wakati wa kuridhika.
Makosa yanayoharibu maisha ya kifedha.
Mpango wa siku 30 wa kubadilisha tabia zako za kifedha.
Kitabu hiki si kuhusu kuwa tajiri kwa siku moja. Ni kuhusu kujenga fikra, nidhamu na maamuzi yanayoweza kukusaidia kuboresha maisha yako hatua kwa hatua.
Pesa ni chombo. Ukiijua kanuni yake, inaweza kukusaidia kujenga maisha bora.
Anza safari yako ya kuelewa pesa leo.

Customer Reviews
No reviews yet. Be the first to review!
Community Comments
Please log in to leave a comment.
Loading comments...