SIRI 7 ZA KUMLINDA MTOTO NA UKATILI
Overview
Reviews (0)
Comments
Creator
SIRI 7 ZA KUMLINDA MTOTO NA UKATILI
Mtoto wako akikutana na hali hatarishi, atajua cha kufanya?
Kumwambia mtoto “jilinde” peke yake haitoshi. Mtoto anahitaji kufundishwa kwa lugha anayoielewa, hatua anazoweza kukumbuka na namna ya kuchukua hatua anapokutana na hali isiyo salama.
📖 NDANI YA KITABU HIKI UTAPATA:
🔹 SIRI 7 MUHIMU
Mambo muhimu ambayo mzazi anapaswa kumfundisha mtoto ili aweze kutambua hali hatarishi na kujilinda dhidi ya ukatili.
🔹 MWONGOZO WA SIKU 7
Mpango wa hatua kwa hatua unaokuonyesha nini cha kumfundisha mtoto kila siku ili ajenge uelewa wa usalama na kujilinda.
🔹 NAMNA YA KUMFUNDISHA MTOTO
Maelezo ya namna ya kuzungumza na mtoto kuhusu usalama kwa lugha rahisi anayoielewa, ili aweze kukumbuka na kutumia anachojifunza.
🔹 NINI CHA KUFANYA NA NINI CHA KUTOFANYA
Mwongozo wa mambo ya kufanya na mambo ya kuepuka unapomfundisha mtoto kuhusu usalama na kujilinda.
🎁 BONUS CHAPTER
Mambo ya ziada ya kuzingatia katika kuongeza usalama wa mtoto.
❤️ KITABU HIKI NI KWA NANI?
✔️ Wazazi
✔️ Walezi
✔️ Walimu na walezi wa watoto
✔️ Mtu yeyote anayehusika na malezi na ulinzi wa mtoto
📱 FORMAT
Ni SOFT COPY (PDF), hivyo unaweza kukisoma kwenye simu, tablet au computer wakati wowote unaokufaa.
🔥 OFA YA UZINDUZI
Bei ya kawaida: TSh 10,000
🎉 BEI YA UZINDUZI: TSh 5,000 TU!
📅 OFA NI HADI 30 SEPTEMBA 2026.
Kuanzia 1 OKTOBA 2026, bei itarudi TSh 10,000.
JIFUNZE SALAMA
Kujua ni Kujilinda.

Customer Reviews
No reviews yet. Be the first to review!
Community Comments
Please log in to leave a comment.
Loading comments...