Products
Product
KITI CHA ENZI – Biashara ya Kinyozi na Saluni
Jifunze kujenga kinyozi au saluni inayovutia wateja, kuwafanya waamini huduma zako na kuwageuza kuwa wateja wa kudumu. Kitabu hiki kinakupa mbinu za vitendo za kuboresha huduma, kujenga chapa, kusimamia timu, kupanga bei na kuongeza faida kupitia Experiential Marketing.
Free
Product
IMANI NYEUPE
Jifunze namna ya kujenga biashara ya maziwa inayotegemewa na wateja kila siku. Kitabu hiki kinakufundisha mfumo wa MAZIWA wa kujenga imani kwa wateja, kuboresha usafi na huduma, kuongeza mauzo, kupata wateja wa kudumu na kukuza faida. Kina mbinu za vitendo kwa wafugaji, wasambazaji na wauzaji wa maziwa.
TZS 2,000 TZS 4,000
Product
HATUA MPYA, VIATU VYA KIKE.
Jifunze namna ya kuongeza mauzo ya duka la viatu vya kike kwa kuboresha uzoefu wa wateja. Kitabu hiki kinakufundisha mfumo wa HATUA wa kuwavutia wateja, kuwasaidia kuchagua viatu vinavyowafaa, kujenga uaminifu na kuwafanya warudi tena. Kina mifano ya vitendo kwa biashara za dukani na mtandaoni.
TZS 2,000 TZS 2,500
Product
KILA YAI LINA HADITHI
Unauza mayai lakini unashindana na wauzaji wengine kwa bei? Jifunze mbinu ya kipekee ya Experiential Marketing kupitia kitabu hiki. Gundua jinsi ya kuwavutia wateja, kujenga imani, kuongeza mauzo na kuwafanya warudi tena bila kulazimika kushusha bei.
TZS 1,000
About JOVITUS REGNAND
Teknolojia inakua sana, muda unaonekana kwenda maradufu, pamoja na hayo , wachache tunachagua maarifa ambayo kwa nyakati za sasa hugeuka msingi kwa kila tunachofanya.
Mimi ni mwandishi mtendaji.