Kwanini unafanya kazi sana lakini bado ni masikini

Kwanini unafanya kazi sana lakini bado ni masikini
Overview
Reviews (0)
Comments
Creator
Fikiria mtu anayeamka kila siku saa kumi alfajiri, anaenda kazini, anafanya kazi masaa nane hadi kumi, anarudi nyumbani amechoka, na kesho anarudia mzunguko huo huo — kwa miaka kumi, ishirini, hata thelathini. Mshahara unaingia kila mwezi tarehe fulani. Lakini akiulizwa “una mali gani?”, jibu ni kirnya.
Hili ndilo fumbo kuu la kitabu hiki: kwa nini watu wengi wanaofanya kazi kwa bidii kubwa hawaishii kuwa na utajiri wowote wa kudumu? Kama kufanya kazi kwa bidii ndiyo njia pekee ya utajiri, kwa nini si kila mfanyakazi mzuri ni tajiri?
Kitabu hiki hakikusudii kukuambia kuwa kazi si muhimu — kazi ni muhimu sana. Kinakusudia kukuonyesha kuwa kazi peke yake, bila mfumo wa kuhifadhi, kuwekeza na kumiliki mali, haitaweza kuzalisha utajiri wa kudumu. Tutachunguza hili kutoka pande nyingi: uchumi, saikolojia, mfumo wa jamii, teknolojia, na tabia za kila siku za Kitanzania.
biashara uchumi ujasiriamali kampuni tanzania

Customer Reviews

No reviews yet. Be the first to review!

Community Comments

Please log in to leave a comment.
Loading comments...
Share this product: Facebook WhatsApp

About the Author

Kilala books

Mwandishi wa vitabu vya nyanja mbalimbali za maisha , uchumi, mahusiano na teknolojia

View all books
TZS 2,500 TZS 7,000
68
Pages
Pdf
Format
Lifetime
Access
0
Sales

Promote this ebook & Earn!

Earn commission for every sale you refer. Join our Affiliate Program

Secure Checkout via Mobile Money & Cards
Instant Delivery

You might also like