Products
Product
"Namna Matajiri Wanatajirika" (How the Rich Get Rich)
Maudhui haya yanachambua mbinu za kisheria na mfumo wa makampuni unaotumiwa na mabilionea kama Warren Buffett na Mohammed Dewji kulinda na kukuza utajiri wao. Kuanzia historia ya kodi mpaka kanuni ya siri ya Salomon (1897), utajifunza jinsi ya kutofautisha mali zako binafsi na madeni ya biashara ili kuhakikisha kuwa dhoruba yoyote ya kiuchumi haifuti jasho lako. Ni mwongozo muhimu kwa mjasiriamali yeyote anayetaka kuacha kufanya biashara kwa kubahatisha na kuanza kutumia mfumo Huu
TZS 9,999
Product
JINSI YA KUJIEPUSHA NA MIGOGORO KWENYE BIASHARA
MWONGOZO WA USALAMA WA BIASHARA Jinsi ya Kujiepusha na Migogoro ya Partnership Hatua 10 Muhimu Kabla, Wakati na Baada ya Kuanzisha Biashara
TZS 10,000
Product
UFANYE NINI MPENZI WAKO AKIFIA GETO
TZS 10,000
Product
Namna ya Kufungua Kampuni Tanzania
Kila unachohitaji ili ufungue kampuni Tanzania
TZS 50,000
About Mr. Julius Mwasampeta LL.B
I make your business legally bulletproof so you can focus on growth. 🛡️
⚖️ Operating within proper legal ambits & mitigating risk
📜 Contracts | Compliance | Corporate Strategy