Crypto Masterclass – Kiswahili
Unataka kuingia kwenye dunia ya cryptocurrency lakini hujui wapi pa kuanzia? Au tayari umeanza lakini unataka kuelewa zaidi jinsi ya kufanya maamuzi sahihi na kupata faida? Crypto Masterclass ni kozi ya kina inayokufundisha kila kitu kuanzia basics hadi kuwa PRO.
Ndani ya tutorials 6 za kina, utajifunza:
– basics za cryptocurrency na blockchain
– jinsi ya kununua, kuuza na kuhifadhi crypto
– mbinu za kuepuka utapeli na LOSSES
– jinsi ya kutengeneza kipato kupitia crypto (trading, staking, DeFi, NFTs)
– jukwaa bora za kupata ajira na gigs kwenye crypto
– mikakati ya muda mrefu ya uwekezaji
Nimekua kwenye cryptokwa miaka 6. Kama unataka kuwa mtaalamu wa crypto kama mimi basi hii masterclass ni yako.
gaby loves tech
Reviews
There are no reviews yet.