Dark Web: Ndani ya Giza na Siri Nzito

DARKWEB: Ndani ya Giza na Siri Nzito ni elimu ambayo inakufungua kuhusu darkweb. Kuanzia namna ya kuitumia, wapi utavunja sheria ukifika na mpaka namna ya kujilinda. Mbali zaidi inakufundisha namna ya kuwa anonymous mtandaoni hata usipokuwa unatumia Darkweb.

Original price was: Sh 15,000.Current price is: Sh 5,000.

Karibu kwenye ulimwengu wa siri, hatari, na usiri uliokithiri. “DARK WEB: NDANI YA GIZA NA SIRI NZITO” ni eBook ya kipekee iliyoandikwa kwa Kiswahili kwa mtazamo wa kitaalamu lakini rahisi kueleweka, ikichambua kwa kina:

  • Dark web ni nini na jinsi inavyofanya kazi

  • Uhalali wa kuitumia na mipaka ya sheria

  • Njia za kuficha utambulisho ili usiweze kufuatiliwa

  • Njia salama za kuifikia kupitia simu au kompyuta

  • Mawasiliano ya siri ndani ya dark web

  • Soko la siri la bidhaa haramu na halali

  • Tahadhari dhidi ya ulaghai, udukuzi na hatari nyingine

Kitabu hiki hakihamasishi uhalifu—lengo lake ni elimu na uelewa. Imeandikwa kwa lugha fasaha ya Kiswahili na imekusudiwa kwa watu wanaotaka kujifunza, kufikiri kwa kina, na kuelewa kile ambacho wengi hawathubutu kukigusia.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Dark Web: Ndani ya Giza na Siri Nzito”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Loading...

Vendor Information

  • Store Name: habaritech
  • Vendor: habaritech
  • Address: Samora
    Iringa
    Iringa
    15103
  • No ratings found yet!

Product Enquiry

Taarifa zako binafsi zitatumika kukamilisha malipo yako na kutoa invoice yako ndani ya website hii, pia zitatumika kwa matumizi mengine yaliyotajwa hapa privacy policy

Dark Web: Ndani ya Giza na Siri Nzito
Original price was: Sh 15,000.Current price is: Sh 5,000.

0