Unataka kuagiza bidhaa kutoka China lakini hujui wapi pa kuanzia? Ebook hii ni mwongozo wa vitendo utakaoondoa wasiwasi na kukusaidia kuagiza kwa ufanisi kupitia Alibaba!
📌 Ndani ya ebook hii utajifunza:
✅ Jinsi ya kufungua akaunti na kutafuta wauzaji wa kuaminika
✅ Njia salama za kufanya malipo na kuepuka utapeli
✅ Namna ya kujadiliana bei na masharti ya usafirishaji
✅ Aina za usafirishaji (Air Cargo, Sea Freight, na Express Shipping) na gharama zake
✅ Taratibu za forodha na jinsi ya kuhakikisha bidhaa zako zinafika salama Tanzania
✅ Makosa ya kawaida wafanyabiashara wengi hufanya na jinsi ya kuyaepuka
Hii siyo tu nadharia – ni mwongozo wa hatua kwa hatua utakao kufanya uweze kuagiza bidhaa zako moja kwa moja kutoka China na kuongeza faida yako!
🚀 Pata ebook yako sasa na anza safari yako ya biashara ya kimataifa!
Reviews
There are no reviews yet.