TIBA YA POCHI TUPU

  1. Gundua Siri Kuhusu Pesa Ambayo 99% Ya Watu hawajui

Original price was: Sh 19,000.Current price is: Sh 7,999.

“Mbona pesa zangu hazikai?”

Hili ni swali ambalo wengi hujiuliza kila siku. Unajitahidi, unafanya kazi kwa bidii, unapata kipato, lakini mwisho wa mwezi… POCHI TUPU! Unashangaa pesa zimeenda wapi.

Kama unajihisi hivi, basi ujue hauko peke yako. Ukweli mchungu ni kwamba watu wengi wanaishi kwenye mduara wa Huu wa kisasa bila hata kujua. Hata wale wanaopata hela nyingi, bado huishia kutokuwa na kitu mfukoni.

Lakini kuna kitu ambacho 1% ya watu wanajua kuhusu pesa ambacho 99% hawajui.

Tatizo Halipo Kwenye Kipato Chako – Tatizo Lipo Kwenye Mfumo Wako wa Fedha

Fikiria hivi…

Unapata mshahara au faida ya biashara.

Unalipa madeni, bili, na gharama za maisha.

Unajikuta una hela kidogo sana au hata hakuna kabisa.

Unajisemea, “Nikipata hela zaidi, nitakuwa sawa.”

Lakini unashangaa hata ukipata zaidi, bado hali inakuwa ile ile!

Tatizo si pesa unayoingiza. Tatizo ni mfumo wa kifedha unaotumia, ambao umekusudiwa kukufanya uendelee kuwa palepale

Ndio maana unakuta matajiri wanazidi kuwa matajiri, wakati watu wa kawaida wanazidi kuteseka.

Je, Umewahi Kujaribu Suluhisho Zifuatazo?

Kusoma vitabu vingi vya fedha lakini bado unakosa matokeo.

Kufanya kazi kwa bidii na kuongeza vyanzo vya kipato, lakini bado hela haitoshi.

Kuweka akiba benki, lakini gharama za maisha zinaimaliza haraka.

Kuanzisha biashara, lakini bado unashindwa kujenga utajiri wa kweli.

Ukiona haya yote hayajazaa matunda, ujue kuna kitu muhimu kinachokosekana.

Kwa Nini Suluhisho Zilizopo Zimeshindwa Kukusaidia?

1. Vitabu vingi vinakufundisha “kutunza pesa,” lakini si jinsi ya kuzidisha pesa hizo.

2. Biashara nyingi zinakulazimisha utafute wateja kila siku, badala ya kujenga mifumo inayofanya kazi kwako hata ukiwa umelala.

3. Uwekezaji wa kawaida unahitaji miaka mingi kuona matokeo, na wengi hawajui wapi pa kuanzia.

4. Ushauri wa kifedha unaopatikana hadharani ni ule ambao hauna nguvu kubwa ya mabadiliko.

Hivyo, watu wanahangaika wakidhani kuwa tatizo ni “kipato kidogo,” wakati ukweli ni kuwa wanatumia kanuni mbovu kuhusu pesa.

Niligundua siri ambayo matajiri wachache wanajua kuhusu pesa – na sasa nataka kukushirikisha.

Kupitia hii Ebook ya …TIBA YA POCHI TUPU

Huu ni mwongozo wa mabadiliko ya kifikra na kimfumo kuhusu pesa ambayo hukuambiwi shuleni, kwenye kazi, wala na wataalamu wa fedha wa kawaida.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “TIBA YA POCHI TUPU”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Loading...

Vendor Information

  • Store Name: FINANCIAL MARKET
  • Vendor: FINANCIAL MARKET
  • Address: Mji mwema
    Mji mwema
    Iringa
    Iringa
    0005
    Tanzania
  • No ratings found yet!

Product Enquiry

Taarifa zako binafsi zitatumika kukamilisha malipo yako na kutoa invoice yako ndani ya website hii, pia zitatumika kwa matumizi mengine yaliyotajwa hapa privacy policy

TIBA YA POCHI TUPUTIBA YA POCHI TUPU
Original price was: Sh 19,000.Current price is: Sh 7,999.

0