Unataka kuanza kutengeneza pesa mtandaoni Au kuwa PRODUCTIVE ONLINE lakini hujui wapi pa kuanzia? haya maswali nimekua nikiulizwa sana “Bro Nianze Vipi? Bro Nianze Wapi? ONLINE” ni mwongozo wa kina utakao kusaidia kuelewa fursa zilizopo kwenye mtandao na jinsi unavyoweza kuzitumia kwa manufaa yako.
Katika eBook hii, utajifunza:
✅ Njia bora za kuanza safari yako ya kipato mtandaoni
✅ Miongozo ya hatua kwa hatua kwa wanaoanza
✅ Makosa unayopaswa kuepuka ili usipoteze muda na pesa
Huu ni mwongozo muhimu kwa vijana wote wanaotaka kujiajiri kupitia teknolojia na fursa za kidigitali. Usikose nafasi yako – anza safari yako ya leo!
Imeandikwa na Gaby Loves Tech
Reviews
There are no reviews yet.