Uchambuzi wa Hisa za Soko la DSE

Rated 4.91 out of 5 based on 11 customer ratings
(11 customer reviews)

Unataka kuanza kuwekeza kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) lakini hujui wapi pa kuanzia? Au tayari una hisa lakini hupati faida unayotarajia?

Sh 10,000

Unataka kuanza kuwekeza kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) lakini hujui wapi pa kuanzia? Au tayari una hisa lakini hupati faida unayotarajia? Ebook hii ni mwongozo kamili utakaoondoa mkanganyiko wote kuhusu uwekezaji wa hisa Tanzania!

📌 Ndani ya ebook hii utajifunza:
✅ Jinsi ya kuchagua kampuni bora za kununua hisa (uchambuzi wa msingi)
✅ Mbinu za kitaalamu za kuchambua mwenendo wa bei za hisa (uchambuzi wa kiufundi)
✅ Jinsi ya kutumia Moving Averages na RSI kwenye soko la DSE
✅ Mikakati ya uwekezaji wa muda mfupi na mrefu
✅ Hatari za uwekezaji na jinsi ya kuzidhibiti
✅ Mfano wa jinsi mtu mwenye kipato cha Tsh. 500,000 anaweza kuanza kuwekeza

Hii siyo tu nadharia – ni mwongozo wa vitendo unaokupa mbinu unazoweza kutumia mara moja kuanza kupata faida!

🎯 Ikiwa unataka kuwa mwekezaji makini wa hisa Tanzania, basi ebook hii ni lazima kwako! Pata nakala yako sasa!

11 reviews for Uchambuzi wa Hisa za Soko la DSE

  1. Rated 4 out of 5

    Hamisi Mgangani

    Hiki kitabu kimenisaidia sana kwa mimi ninaye anza kuwekeza kwenye hisa. Kinafafanua kila kitu kwa lugha rahisi na kinatoa mifano mizuri. Nimejifunza mengi na nahisi niko tayari kuanza safari yangu ya uwekezaji kwenye soko la DSE.

  2. Rated 5 out of 5

    Vivian Sanga

    Miongoni mwa vitabu bora kuhusu uwekezaji wa hisa Tanzania! Kina uchambuzi wa kina, mifano ya vitendo, na mbinu madhubuti za kupata faida kwenye soko la hisa. Nimefurahia kila ukurasa. Ningeweza kukipa nyota sita kama ingewezekana!

  3. Rated 5 out of 5

    Prosper Mmole

    Hakika kitabu hiki kimekuwa mwangaza mkubwa sana hasa kwa sisi ambao tulikuwa hatujui kwa undani au hatujui kabisa kuhusiana na masuala haya ya kiuwekezaji. Na uzuri imetumika lugha yetu hadhimu ya Kiswahili hivyo kuelewa kiundani kilichomo ndanimo.

  4. Rated 5 out of 5

    Baraka malinga

    Kitabu kizuri kabisaa kinatufaa sisi ambao hatujui tuanzie wapi

  5. Rated 5 out of 5

    Fabian Sebastian

    I was completely impressed, it broght me to a world i wasn’t aware of. I would like to read more of these.

  6. Rated 5 out of 5

    Jx

    Good

  7. Rated 5 out of 5

    Renatus Mkinga

    Nilikuwa sijui nianzie wapi kuhusu Hisa za DSE ila kitabu hiki kimeweza nipa mwanga na mwanzo mzuri kuanza kuwekeza. Kwa yeyote atakae kusoma hatojutia na atapata madini makubwa mno😌🔥

  8. Rated 5 out of 5

    Hamimu Mopei

    A clear, practical guide to stock investing with actionable strategies and a focus on long-term growth. Great for beginners. Solid foundation for investors.

  9. Rated 5 out of 5

    Gloria Richard

    Kiukweli nilikua sifahamu chochote kuhusiana na soko la hisa, ila kupitia kitabu hiki nilipata elimu hiyo na sasa ni miongoni mwa wawekezaji katika soko la hisa la DSE💪🏾

  10. Rated 5 out of 5

    Rash kicks

    Nilikua sifahamu lolote kuhusu ununuzi wa hisa ila baada ya kusoma kitabu hiki nilielewa vyema kabisa kwani imetumika lugha rahisi na mifano mepesi ndani yake.

  11. Rated 5 out of 5

    ABUBAKAR ABDULLA KHAMIS

    Awesome 👍

Add a review

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Loading...

Vendor Information

  • Store Name: habaritech
  • Vendor: habaritech
  • Address: Samora
    Iringa
    Iringa
    15103
  • No ratings found yet!

Product Enquiry

Taarifa zako binafsi zitatumika kukamilisha malipo yako na kutoa invoice yako ndani ya website hii, pia zitatumika kwa matumizi mengine yaliyotajwa hapa privacy policy

Uchambuzi wa Hisa za Soko la DSE
Sh 10,000

0