NDOA NA MAPENZI YA MUNGU

NDOA NA MAPENZI YA MUNGU
Overview
Reviews (0)
Comments
Creator
SIO KILA USHINDI HUPATIKANA KWA MAOMBI TUU, VIFUNGO VINGINE ZINATAKA USOME VITABU.
‎
‎Danieli 9:2 (SUV)
‎
‎“Katika mwaka wa kwanza wa kutawala kwake, mimi, Danieli, nalifahamu kwa kuvisoma vitabu, hesabu ya miaka, ambayo neno la BWANA lilimjia nabii Yeremia, ya kwamba kutimia kwa ukiwa wa Yerusalemu kungekuwa miaka sabini.”
‎
‎Umuhimu wa kusoma vitabu.👇👇
‎
‎Danieli alikuwa mtu wa maombi, lakini pia alikuwa mtu wa kusoma na kutafuta maarifa kupitia vitabu.
‎
‎Mambo matatu ya kujifunza:
‎
· ‎Kusoma huleta ufahamu – Danieli alipata kuelewa majira na mpango wa Mungu kwa kusoma.
‎
· ‎Maarifa yanahitaji kutafutwa – Hakutosheka na kile alichokuwa anajua; alijifunza zaidi.
‎
· ‎Kusoma huongeza uelewa wa kusudi – Alitambua majira ya Mungu kupitia maandiko aliyoyasoma.
‎
‎
‎Usiombe tu Mungu akufungulie milango; pia fungua vitabu ili kuongeza ufahamu wako. Maombi yanakujenga kiroho, na kusoma kunapanua upeo wa maarifa yako.
‎
‎
‎PAMOJA NA KUZUNGUKA KWA WACHUNGAJI WAOMBEE NDOA YAKO, NAKUSHAURI TENGA MUDA SOMA NA VITABU PIA...
‎
‎MAOMBI+ MAARIFA= MAJIBU SAHIHI.
‎

Customer Reviews

No reviews yet. Be the first to review!

Community Comments

Please log in to leave a comment.
Loading comments...
Share this product: Facebook WhatsApp

About the Author

Simbeye Kings

Ni mchungaji, Mume wa mke mmoja wa ndoa, baba wa watoto watatu, mwandishi wa vitabu kama vile, TUNAPOABUDU, NDOA KAMA MTEGO NA NDOA NA MAPENZI YA MUNGU.

View all books
TZS 4,000
64
Pages
Pdf
Format
Lifetime
Access
0
Sales

Promote this ebook & Earn!

Earn commission for every sale you refer. Join our Affiliate Program

Secure Checkout via Mobile Money & Cards
Instant Delivery