Products
Product
MBINU ZA KUUZA ZAIDI”
Unataka kuongeza mauzo ya biashara yako na kupata wateja wengi zaidi? Kitabu cha Mbinu za Kuuza Zaidi kinakufundisha mbinu rahisi na za vitendo za kuvutia wateja, kuwashawishi kununua, kuongeza mauzo na kukuza biashara yako bila kuhitaji mtaji mkubwa. Ni mwongozo bora kwa wajasiriamali na wafanyabiashara wanaoanza au wanaotaka kuboresha biashara zao.
TZS 4,500
Product
Chunusi bila hofu
Je, chunusi zinakupa hofu na kukufanya upoteze kujiamini? Kitabu hiki kitakusaidia kuelewa chanzo cha chunusi, jinsi ya kutunza ngozi yako kwa usalama, makosa ya kuepuka na njia sahihi za kukabiliana na chunusi. Jifunze kuwa na ngozi yenye afya na kujiamini zaidi. Anza safari yako ya kutunza ngozi bila hofu!
TZS 3,000