ISHI KAMA MFALME

ISHI KAMA MFALME
Overview
Reviews (0)
Comments
Creator
Umechoka kuishi kama mtumwa wa hofu, aibu na maoni ya watu?
Mungu hakukuumba uwe wa kawaida. Biblia inasema ULIUMBWA KUTAWALA.
Katika kitabu hiki cha ISHI KAMA MFALME, The Trinity Ambassador anakufumbua:
✅ Kwa nini unajisikia mdogo na jinsi ya kurudisha utambulisho wako wa kifalme
✅ Mbinu 6 za kiroho na kifkra za kujenga kujiamini kusikotikisika
✅ Jinsi ya kuongea, kutembea na kuamua kama Mfalme hata kama bado hauna kiti
✅ Mafumbo ya Biblia kuhusu ufalme ambayo kanisani hawajawahi kukuambia
Hiki si kitabu cha motivation tu. Hiki ni MWONGOZO wa kurudi kwenye nafasi yako.
Kwa TZS 3,500 tu, unapata ufunguo wa maisha yote.
🕊️ Kiroho • 🧠 Fikra • 🌍 Uhalisia
kujiamini ishi kama mfalme maendeleo binafsi kiroho ufalme fikra chanya the trinity ambassador

Customer Reviews

No reviews yet. Be the first to review!

Community Comments

Please log in to leave a comment.
Loading comments...
Share this product: Facebook WhatsApp

About the Author

T

The Trinity Ambassadortz

Kiroho, Fikra, Uhalisia. Tunafumbua mafumbo na kujibu maswali magumu kupitia Biblia, Maarifa na Maisha halisi. Jitambue, Elewa, Ishi kifalme.

View all books
TZS 3,500
12
Pages
Pdf
Format
Lifetime
Access
0
Sales

Promote this ebook & Earn!

Earn commission for every sale you refer. Join our Affiliate Program

Secure Checkout via Mobile Money & Cards
Instant Delivery