Bidhaa Bora ya Leo.

Magazine 8: Akili Bandia Kuongeza Ajira

Watu wengi hudhani kwamba Artificial Intelligence ipo kuchukua nafasi ya binadamu. Wengine huenda mbali kudhani ipo siku tutakuwa watumwa wa AI, lakini AI kwa matumizi sahihi ipo kuongeza upeo wetu wa akili si kutuumiza.

Hazina za Moto Moto

NOGESHA PENZI LAKO
Jinsi Ya Kumfanya Mpenzi Wako Akuwaze Kila Siku!
Jua Kunogesha Penzi Leo
Uchambuzi wa Hisa za Soko la DSE
Unataka kuanza kuwekeza kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) lakini hujui wapi pa kuanzia? Au tayari una hisa lakini hupati faida unayotarajia?
Fahamu Soko la Hisa la DSE
Nyota ya Mrembo Aliyezikwa Hai
Masikini Janeth hakujua kwamba Johnson alikuwa na mipango mingine juu ya maisha yake. Maisha ya Johnson yalijaa ushirikina na njaa ya mafanikio, kitu ambacho kilifanya kila mtu aliyemgusa Janeth apoteze maisha yake.
Soma Nyota ya Mrembo Aliyezikwa Hai

Furaha ya Wengi

1