Fahamu Kuhusu Sisi
Kuhusu HabariTech
Sisi ni Habaritech
Rafiki yako tangu 2020
Rahisi kuwasiliana nasi
info@habaritechnology.com
Mazungumzo na IT
charlesvenny@gmail.com
(+255) 753 607 400
Our Partner
Global Partner


Kuanzisha
9th November 2020
Kuanzishwa kwa Habaritech
Muanzilishi wa HabariTech (Charles Chambila) alianzisha jukwaa la HabariTech kupitia mtandao wa X. Lengo lilikuwa kujenga jamii ya watu wa tech mtandaoni na kutoa elimu ya Tech bure.
Kukua
5th May 2021
Machapisho ya Magazeti
Mwezi May mwaka 2021 HabariTech ilianza kutoa machapisho ya magazeti ya tech kwa kiswahili bure. Magazeti haya yalisambazwa kupitia Whatsapp, M-Paper, Gumroad na E-mail.
Kileleni
3rd June 2022
Kushiriki Matukio
Kuanzia June 2022 Habaritech tulianza kupokea mialiko mbalimbali ya kutoa elimu ya tech na cryptocurrency katika majukwaa kama Binance na Maujanja Community.