The INTERNET ATM
Verified
Overview
Reviews (0)
Comments
Creator
Una simu. Una internet. Lakini bado hujatengeneza chanzo cha kipato?
Tatizo linaweza lisiwe internet.
Tatizo linaweza kuwa unatumia internet kama mtumiaji, badala ya mmiliki wa asset.
Kwa miaka mingi watu wamefundishwa kutafuta kazi mtandaoni.
Lakini wachache wamefundishwa jinsi ya kutengeneza kitu kinachoweza kuendelea kukuletea kipato kwa muda mrefu.
The Internet ATM si kitabu cha kukupa shortcuts.
Si kitabu cha "tajirika haraka."
Ni blueprint (MFUMO) wa kukusaidia kutengeneza biashara ya kidijitali kutoka mwanzo, kwa kutumia ujuzi, content na digital assets.
Ndani yake utajifunza:
✓ Kwa nini Skill ndiyo mtaji mkubwa kuliko fedha.
✓ Jinsi ya kuchagua online business inayokufaa.
✓ Namna ya kujenga Audience inayokuamini.
✓ Jinsi ya kutumia Content kuvutia wateja.
✓ Kwa nini YouTube ni Asset, si Social Media.
✓ Mfumo wa kubadilisha maarifa kuwa kipato.
Baada ya kukisoma, hutakuwa tena unarukaruka kutoka opportunity moja kwenda nyingine.
Utakuwa na ramani ya kujenga online business ambayo unaweza kuikuza hatua kwa hatua.
Kama umechoka kuanza upya kila mwezi na uko tayari kujenga biashara ya kidijitali yenye msingi imara...
The Internet ATM ni mahali pazuri pa kuanzia.
Pata Copy Yako Sasa
Usiendelee kutumia mtandao kwa ajili ya kutafuta taarifa pekee.
Jifunze jinsi ya kuutumia kutengeneza assets zinazoweza kukulipa kwa miaka mingi ijayo.
Bonyeza kitufe cha kununua sasa na anza kutengeneza Internet ATM yako leo.
PS: Endapo umekutana na changamoto yoyote wakati wa kulipia ili apate eBook hii, tafadhali nitumie ujumbe ili nikupatie msaada zaidi. Nitafurahi kukusaidia ili upate eBook yako bila usumbufu wowote ule. Asante sana. 🙏
Call: 0754412647 | WhatsApp: 0712988589

Customer Reviews
No reviews yet. Be the first to review!
Community Comments
Please log in to leave a comment.
Loading comments...