Watu wengi kwa muda mrefu wamekuwa wakitamani kujifunza namna ya kutumia YouTube kujenga na kukuza YouTube channels zao, kukuza audience, na kutengeneza kipato kwa mfumo unaoeleweka.

Kwa sababu si rahisi kufundisha kila kitu mmoja mmoja kwa kina kwenye mitandao ninayo share maudhui na contents kuhusu YouTube monetization ya Faceless channels, hivyo nimeamua kufungua nafasi maalum ya darasa la YouTube Automation Masterclass kwa wale ambao wako tayari kujifunza kwa kina zaidi.

Masterclass hii itaanza rasmi tarehe 20 April 2026 hadi 23 April 2026.

Ndani yake tutajifunza mfumo wa kujenga faceless YouTube channels, kutumia AI kwenye content creation, kuelewa namna ya kupata views, kukuza channel, na jinsi ya kufanya monetization na kuanza kulipwa na YouTube.

Kama umekuwa ukitaka kuelewa YouTube Automation ina fanyikaje kwa vitendo, hii ni nafasi nzuri ya kuingia kwenye darasa hili na kupata mwongozo wa karibu zaidi.

Gharama ya kushiriki ni Tsh 65,000 tu

Endapo unaona hii ni skill ambayo umekuwa ukitaka kuielewa vizuri, basi usisubiri mpaka nafasi zijazwe na wengine.

Je! uko tayari kujiunga? basi bonyeza link iliyopo hapa chini ufanye malipo ili uthibitishe nafasi yako na upatiwe tiketi yako mapema.

🔗 Link: Usajili wa YouTube Automation Masterclass

Mwaka jana niliweza kutengeneza zaidi ya $45,000. If I can do it so, can you. Ni wewe kuamua kujifunza na ku take action tu.