YouTube Automation Masterclass

YouTube Automation Masterclass

Verified
5.0 (21 reviews)
TZS 65,000
-
Pages
Link
Format
Lifetime
Access
26
Sales

Promote this link & Earn!

Earn commission for every sale you refer. Join our Affiliate Program

Description

Watu wengi wakisikia YouTube Automation wanafikiria tools kwanza.

AI tools. Editing tools. Thumbnail tools.

Lakini ukweli ni huu:

Tools sio muhimu zaidi.

Kinachofanya tofauti ni:

Nini kinawafanya watu waclick
Nini kinawafanya waendelee kuangalia
Na jinsi ya kujenga channel inayokua bila ku-depend na wewe kuonekana

Hiyo ndiyo masterclass hii inahusu.

Kwa mwaka mmoja uliopita, nimetengeneza zaidi ya $45,000 kupitia faceless YouTube channels — na bado ninaendelea.

Sifundishi theory.
Nafundisha kile ninachofanya real time.

Ndani ya hii masterclass utajifunza:

Jinsi ya kuchagua niche sahihi
Jinsi ya kutengeneza titles na thumbnails zinazovuta clicks
Jinsi ya ku-structure video ili watu waendelee kuangalia
Jinsi ya kutumia AI tools kwa smart way
Na jinsi ya kugeuza channel kuwa source ya kipato

Hii sio hype. Ni mfumo.

Kama unataka kuelewa YouTube Automation kwa njia sahihi, na kuacha kubahatisha…

Hapa ndipo pa kuanzia.
Monetize YouTube
Share this product: Facebook WhatsApp

About the Author

ALLY MSANGI

I’m Ally, or Ali if you prefer. I started out in business administration and accounting, but my path led me into the creative world, where I now help people adapt, create, and grow in the modern digital economy. My content focuses on content creation, content marketing, and content monetization, with one goal in mind: helping people build an audience, grow their brand, and create income from what they know, make, and share online. So far, more than 50,000 people around the world have learned through my content. Everything I teach comes from 15 years of hands-on experience, mistakes, experiments, and lessons learned along the way. That experience is what I bring into my work now, helping creators build real skills, reach the right people, and create something online that is both meaningful and sustainable.

View all books

Customer Reviews

Sisco May 01, 2026

Kama unapata shida kuishinda Youtube algorithim hii progam ni kwaajili yako

JOSHUA Apr 29, 2026

Safi program nzuri sana

Robert Apr 29, 2026

One of the best decision I made is to learn Youtube Automation kutoka kwa Mtaalamu Ali Msangi. This guy is cool, determined and well experienced about Youtube Automation. I gave four star and I really appreciate.

Nestory Apr 29, 2026

🔥🔥🔥🔥 knowledge kubwa sana kwa gharama ndogo

PETER BAHATI Apr 29, 2026

Never regret 🔥🫡

Atick Apr 25, 2026

Bonge moja la kozi aisee,Mr Ali yuko vizuri sana,anajua kufundisha anajibu maswali kwa usahihi yaani haachi kitu, sijajutia kusoma hii kozi

Kilasi Apr 25, 2026

Naoma gharama zilikuwa ndogo 😂 za kupata hii elimu, nimepata ujuz mkubwa sana , nlikuwa na channell tayari, ila hii koz imeniweka kwenye right trend,

Isdory Apr 25, 2026

Best and deep knowledge nimeipata katika hii kozi

Vincent Apr 25, 2026

Hii kozi imekuwa nzuri na imetupa mwanga wa kuweza kupata elimu ya YouTube ambayo hata ungeangalia kwenye video za YouTube usingeweza kupata hii elimu

Kibonajoro Haruna Apr 25, 2026

Good opportunity