Free PR, No ADS

Verified
Free PR, No ADS
Overview
Reviews (0)
Comments
Creator
Una ujuzi, content, bidhaa au huduma nzuri. Lakini watu sahihi wanakufahamu?

FREE PR, NO ADS ni kitabu cha Kiswahili kinacho kufundisha namna ya kufanya kile unachofanya kifahamike, kuvutia watu sahihi na kujenga uaminifu bila kutegemea matangazo ya kulipia kila wakati.

Kitabu hiki ni kwa ajili yako kama wewe ni:

- Content creator: Unataka content yako ikujengee jina, hadhira inayokuamini na fursa za kipato.

- Freelancer: Una ujuzi unaouza na unataka wateja wakugundue, waelewe thamani yako na sababu ya kufanya kazi na wewe.

- Coach, mshauri au mkufunzi: Unataka watu watambue uwezo wako na waamini maarifa unayotoa kabla ya kununua huduma zako.

- Mtu anayejenga personal brand: Unataka kujulikana kwa ujuzi, mawazo na kazi zako, na kufanya kile unachojenga kizungumziwe.

- Mjasiriamali au mmiliki wa biashara ndogo: Unataka bidhaa na huduma zako zifikie wateja bila kuongeza bajeti ya matangazo kila unapohitaji mauzo.

Kupitia sehemu saba za ebook hii, utajifunza kutengeneza content inayovutia, kutumia simulizi yako kujitangaza, kufikia hadhira za wengine na kujenga uaminifu. Pia utajifunza kugeuza attention kuwa wateja na kutumia ushuhuda na mapendekezo yao kufikia watu zaidi.

Hata kama bado una followers wachache, kitabu hiki kinakuelekeza jinsi ya kutumia njia ambazo tayari zina watu unaotaka kuwafikia.

Pata nakala yako ya FREE PR, NO ADS. Jifunze kufanya watu sahihi wakugundue, wakuelewe na wakuamini.
Free PR no ADS eBook

Customer Reviews

No reviews yet. Be the first to review!

Community Comments

Please log in to leave a comment.
Loading comments...
Share this product: Facebook WhatsApp

About the Author

ALLY MSANGI

I’m Ally, or Ali if you prefer. I started out in business administration and accounting, but my path led me into the creative world, where I now help people adapt, create, and grow in the modern digital economy. My content focuses on content creation, content marketing, and content monetization, with one goal in mind: helping people build an audience, grow their brand, and create income from what they know, make, and share online. So far, more than 50,000 people around the world have learned through my content. Everything I teach comes from 15 years of hands-on experience, mistakes, experiments, and lessons learned along the way. That experience is what I bring into my work now, helping creators build real skills, reach the right people, and create something online that is both meaningful and sustainable.

View all books
TZS 14,900
-
Pages
Pdf
Format
Lifetime
Access
0
Sales

Promote this ebook & Earn!

Earn commission for every sale you refer. Join our Affiliate Program

Secure Checkout via Mobile Money & Cards
Instant Delivery

You might also like