DUBAI LEGIT SUPPLIERS

DUBAI LEGIT SUPPLIERS

TZS 20,000
-
Pages
Link
Format
Lifetime
Access
0
Sales

Promote this link & Earn!

Earn commission for every sale you refer. Join our Affiliate Program

Description

Dubai ni moja ya masoko makubwa duniani kwa biashara ya bidhaa za electronics, simu, accessories, perfumes, laptops, na bidhaa nyingine nyingi za jumla. Lakini changamoto kubwa kwa wafanyabiashara wengi ni kupata suppliers halali na waaminifu.

DUBAI LEGIT SUPPLIERS ni mwongozo uliotengenezwa kusaidia wafanyabiashara kupata mawasiliano ya suppliers waliopo Dubai ambao tayari wanafanya biashara na watu kutoka Afrika, hasa Tanzania.

Ndani ya mwongozo huu utapata list ya suppliers waliogawanywa kwa makundi ya bidhaa ili iwe rahisi kupata unachotafuta.

Ndani ya mwongozo huu utapata suppliers wa bidhaa kama:

📱 Simu mpya na used (iPhones & Android)
💻 Laptops na accessories
🎮 PlayStation na vifaa vya gaming
📷 Camera na vifaa vya CCTV
🔌 Original accessories (Anker, JBL, Ugreen, n.k.)
👜 Abaya na bidhaa za mavazi
🌸 Perfumes
🚗 Spare parts za magari
🖥 Used electronics (monitors, printers, equipment)
💾 Storage devices (SD cards, external storage)
💍 Gold jewelry suppliers

Pia utapata mawasiliano ya cargo agents wanaosaidia kusafirisha mzigo kwa air au sea freight kutoka Dubai kwenda Tanzania.

Faida za kutumia mwongozo huu

✔ Okoa muda wa kutafuta suppliers
✔ Epuka kutapeliwa na suppliers fake
✔ Pata mawasiliano ya suppliers waliopo sokoni Dubai
✔ Rahisi kuanza biashara ya kuagiza bidhaa

Inafaa kwa nani

Mwongozo huu unafaa kwa:

Wafanyabiashara wanaotaka kuagiza bidhaa kutoka Dubai

Watu wanaotaka kuanza biashara ya importation

Wauzaji wa electronics, simu, au spare parts

Watu wanaotafuta suppliers wa bei ya jumla
biashara
Share this product: Facebook WhatsApp

About the Author

M

Madini ya Gaby eShop

Gaby loves Tech

View all books

Customer Reviews

Login to Review

No reviews yet. Be the first to review!