Products
Product
DUBAI LEGIT SUPPLIERS
DUBAI LEGIT SUPPLIERS ni list ya suppliers waliothibitishwa kutoka Dubai wanaouza bidhaa mbalimbali kama simu, electronics, accessories, perfumes, spare za magari, laptops, na bidhaa nyingine nyingi. Mwongozo huu utakusaidia kupata mawasiliano ya wauzaji halali na kujifunza namna ya kuagiza mzigo kutoka Dubai kwenda Tanzania bila kupoteza pesa au muda.
TZS 20,000
Product
You Don't Know Biashara ya P2P
You Don't Know Biashara ya P2P ni video maalum inayofundisha jinsi ya kufanya biashara ya P2P (Peer-to-Peer) kwa kutumia crypto na kupata faida. Video hii inaelezea mfumo wa P2P kwa lugha rahisi ya Kiswahili na inaonyesha namna ya kuanza, kufanya trading salama, na kuepuka makosa yanayowafanya wengi kupoteza pesa.
TZS 10,000
Product
Crypto Master Class
Unataka kuingia kwenye dunia ya cryptocurrency lakini hujui wapi pa kuanzia? Au tayari umeanza lakini unataka kuelewa zaidi jinsi ya kufanya maamuzi sahihi na kupata faida? Crypto Masterclass ni kozi ya kina inayokufundisha kila kitu kuanzia basics hadi kuwa PRO.
TZS 10,000
Product
Mchongo GPT
Unatafuta mbinu bora za kutengeneza kipato mtandaoni? "MCHONGO GPT - The Complete Package" ni mwongozo kamili wenye zaidi ya michongo 50 ya mtandaoni, humu kuna njia bora za kutumia ChatGPT kutengeneza kipato.
TZS 20,000
Product
BILLION DOLLAR MARKET ya Kuuza Taarifa
Nchi zetu hizi zinazokua kuna Illiteracy rate kubwa hivyo hata uhaba wa taarifa ni mwingi. Ndio maana hadi mtu anunue kitu online unahitaji umuelimishe, umshawishi sana, Sasa hapa ndo opportunity ilipo.
TZS 1,000
Product
50 DIGITAL PRODUCT IDEAS FOR 2026
Get instant access to "50 DIGITAL PRODUCT IDEAS FOR 2026" (written in Kiwahili and English/ Kiswanglish) and start making money online today!
TZS 1,000
Product
Telegram Bot Master
Jifunze kutengeneza Bots za Telegram ili Kuweza Automate mambo yako yote.
TZS 10,000
Product
Uanzie Wapi Kujitafuta Online
Unataka kuanza kutengeneza pesa mtandaoni Au kuwa PRODUCTIVE ONLINE lakini hujui wapi pa kuanzia? haya maswali nimekua nikiulizwa sana "Bro Nianze Vipi? Bro Nianze Wapi? ONLINE" ni mwongozo wa kina utakao kusaidia kuelewa fursa zilizopo kwenye mtandao na jinsi unavyoweza kuzitumia kwa manufaa yako.
TZS 1,000